Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,802
Kampe show!Huyu Bwanamdogo anaweza kusimamia ukucha kweli?
Kampe show!Huyu Bwanamdogo anaweza kusimamia ukucha kweli?
Aisee..Wewe huwa unatoa show?Kampe show!
hance mtanashati kuweka story yako sawa,Hii ilitokea takribani miaka 18 iliyopita(1998).Mwaka 2009(miaka 11 baadae) huyo Sean alikamatwa na kufungwa jela miezi saba kwa sababu za wizi.Emma Webster baadaye aliolewa na mwanaume mwingine.
Imepenya hiyoooo imoooooooooooooooooooooooooooooooooooIvi ww mtu mzima more than 40 unaandika ujinga hivii hatarii sana, kuna siku ulileta uzi, ukitushauri sisi wadogo zako tuwe wastaarabu ww vp?
Key =funguoMtoto keytombi huyu...ila kiuhalisia kabemendwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Key =funguo
Ila hapa imeandikwa kwa matamshi ya ki!
huishi vituko swahiba wangu.
Hii issue siyo ya hivi karibuni, ilitokea miaka mingi iliyopita. If I am not mistaken it is more than 10 years agoSean Stewart mwenye umri wa miaka 12 anayeishi Uingereza ndiye anayesemekana kuwa ndio baba mwenye umri mdogo zaidi duniani
Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort ameruhusiwa kukaa nyumbani ili kuwa karibu na mpenzi wake aliyejifungua wiki hii aitwae Emma Webster
Sean alitimiza miaka 12 mwezi mmoja uliopita , na alimpa ujauzito Emma akiwa na miaka 11 huku Emma akiwa na miaka 15
Sean anasema alishtuka kwa mara ya kwanza aliposkia Emma ana ujauzito wake ila kwa sasa ana jiona yupo sawa na ana furaha isiyo na kifani
View attachment 395211. Sean akiwa na mtoto wake
View attachment 395212. Sean akiwa na mtoto wake
View attachment 395213. Sean akiwa na mpenzi wake na mtoto wake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli aseekamebambikiwa mimba maskini
"Hata watoto nao wanawatotoo [emoji445]"
Huu wimbo nineusahau jina
End shall never wonder!Dogo alidanganywa na huyu binti. At the age of 11 dogo anapiga show!!!? Wonders shall never end