Baba mwenye umri mdogo duniani

Baba mwenye umri mdogo duniani

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Sean Stewart mwenye umri wa miaka 12 anayeishi Uingereza ndiye anayesemekana kuwa ndio baba mwenye umri mdogo zaidi duniani.

Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort ameruhusiwa kukaa nyumbani ili kuwa karibu na mpenzi wake aliyejifungua wiki hii aitwae Emma Webster.

Sean alitimiza miaka 12 mwezi mmoja uliopita, na alimpa ujauzito Emma akiwa na miaka 11 huku Emma akiwa na miaka 15.

Sean anasema alishtuka kwa mara ya kwanza aliposkia Emma ana ujauzito wake ila kwa sasa ana jiona yupo sawa na ana furaha isiyo na kifani.

1473194885606.png
.
Sean akiwa na mtoto wake

1473194929506.png
.
Sean akiwa na mtoto wake

1473194956616.png
.
Sean akiwa na mpenzi wake na mtoto wake
 
Sean Stewart mwenye umri wa miaka 12 anayeishi Uingereza ndiye anayesemekana kuwa ndio baba mwenye umri mdogo zaidi duniani



Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort ameruhusiwa kukaa nyumbani ili kuwa karibu na mpenzi wake aliyejifungua wiki hii aitwae Emma Webster


Sean alitimiza miaka 12 mwezi mmoja uliopita , na alimpa ujauzito Emma akiwa na miaka 11 huku Emma akiwa na miaka 15


Sean anasema alishtuka kwa mara ya kwanza aliposkia Emma ana ujauzito wake ila kwa sasa ana jiona yupo sawa na ana furaha isiyo na kifani



View attachment 395211. Sean akiwa na mtoto wake




View attachment 395212. Sean akiwa na mtoto wake





View attachment 395213. Sean akiwa na mpenzi wake na mtoto wake
Mtoto keytombi huyu...ila kiuhalisia kabemendwa
 
Kati ya watu wanaowahi kubalehe basi ni wazungu na sisi waafrika ni wale watokao familia za mboga saba, sababu kubwa ni aina ya vyakula vingi wanavyokula ni vile vyenye machemical mengi hasa mayai ya kisasa na mikuku ya kisasa.

Bila shaka umeshawahi kukutana na watoto ukiwaangalia utafikiri wana miaka 20 kumbe hata 15 hawajafika, hawa wa wanakuwa wameshabalehe na kuvunja ungo wakiwa bado umri wa kubalehe haujawafikia(kutokana na aina ya vyakula)

Huyu dogo yawezekana kweli alimpa mimba huyo dada, ila kosa la dada ni kuonekana kama alikuwa anambemenda tu.
 
Back
Top Bottom