kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu.
Sasa yapita week mbili alikuwa amepatwa na Msiba wa Mjomba wake huko Tanga akamuelewa mtoto wa jirani yake amlindie kwa kulala kwake.
Sasa cha ajabu alikuwa ameacha Units 34, cha kustaabu Baba mwenye nyumba nae kumbe kwenye nyumba Kubwa pia aliweka hiyo Taarifu pia ila akaanza na tamaa kuanza kuweka Duka la vyakula na fridge kwa ajiri ya kuuza vinywaji sasa aliponunua umeme amekuta ametolewa kwenye hiyo Taarifu na Tanesco sasa Mpangaji wake alipoona hayupo akaamua kumuita Fundi Umeme kuja kubalisha Luku ya Mpangaji wake bila yeye kuwepo ila alimpa taarifa kuwa kuna shoti inatokea kwenye nguzo so anamuita Fundi kwa ajiri ya kurekebisha ndipo yule Fundi anang'oa Luku ya Mpangaji wake na kuipeleka Home kwake na ile ya kwake akamuwekea Mpangaji ambayo Taarifu umefutwa na akamnunulia umeme Units 10 tu.
Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha. Hii kistaarabu imekaaje? Jamaa anaweza kwenda kustaki Tanesco or amuachie tu /MMungu?