huyo baba hana jina wakuu??? why picking on a young lady?
hahaha ...kwa hiyo unafikiri huyu dogo mko level moja? unafikiri mtakutana mtaani ee? kalabagahoWanaJF hamumtendei haki huyu mtoto, mnatakiwa kumpa pole na kumpa matumaini kuwa bado kunafursa nyingine katika maisha ambazo anaweza kuzifuata kufanikisha malengo yake kwa namna inayofaa. Tuanche kumbeza, kumkejeli, kumzodoa na mengine yanayofanana na hayo. Anguko katika maisha sio kwenye mitihani tu. Tubadilike, tuwe watu wakupeana matumaini na njia za kukabiliana na matatizo kwa wenzetu wanaokabilana na shida.
ritz umefulia sasa mwanaasha kakamata usukani
Tumeshapata msamiati. Jf bana! Unakumbuka masaburi ilianzaje?
hahaha ...kwa hiyo unafikiri huyu dogo mko level moja? unafikiri mtakutana mtaani ee? kalabagaho
hahaha ...kwa hiyo unafikiri huyu dogo mko level moja? unafikiri mtakutana mtaani ee? kalabagaho
jamani mimi yule mwanaasha nimemzimia mbaya sijui mtanisaidiaje wana jf mi niko tayari kumsubiri mpaka amalize shule jamani msaada tafadhali
sasa kama mzazi kashindwa kumsaidia/KUMSIMAMIA MWANAWE HADI KAPIGA DIV YA UKWELI UNAFIKIRI NCHI NDIO ATAIWEZA?direct proportionalMzalendo wa kweli wa Jamhuri ya Tanziania, mwenye moyo na fikra za umoja,shupavu, na asiye na uwoga,hawezi kufikiria katika namna ya utofauti unaolazimisha kuuonyesha. Ukianza kufikiria mambo ya level level unakuwa unajijengea inferiority complex mood mkuu. kwa maneno mengine unakuwa unajitoa katika kukabidhiwa majukumu mazito ya kuleta maendeleo katika nchi hii. Ebu fikiria mara mbili mkuu juu ya wazo lako hilo.
sasa kama mzazi kashindwa kumsaidia/KUMSIMAMIA MWANAWE HADI KAPIGA DIV YA UKWELI UNAFIKIRI NCHI NDIO ATAIWEZA?direct proportional
Hajui kuwa huyo dogo anaweza pewa cheo cha Blandina Nyoni kesho tu!
We wa ajabu sana,jamani mimi yule mwanaasha nimemzimia mbaya sijui mtanisaidiaje wana jf mi niko tayari kumsubiri mpaka amalize shule jamani msaada tafadhali
We wa ajabu sana,
Unaacha kuwazimia Ma-Great Thinker wa hapa JF,
eti unaenda kumzimikia yule kilaza wa Mwisho!!!!!!??
Baba mwanasha kalala usingizi mpaka ashtuliwe kwa bomu ila ingekua ni kusafiri duh anavyopenda safari za nje ndo mana nyerere kampaga mambo ya nje. Akiamka haposafari ungaibuni yani hatuna raisi hapa kushney
WanaJF hamumtendei haki huyu mtoto, mnatakiwa kumpa pole na kumpa matumaini kuwa bado kunafursa nyingine katika maisha ambazo anaweza kuzifuata kufanikisha malengo yake kwa namna inayofaa. Tuanche kumbeza, kumkejeli, kumzodoa na mengine yanayofanana na hayo. Anguko katika maisha sio kwenye mitihani tu. Tubadilike, tuwe watu wakupeana matumaini na njia za kukabiliana na matatizo kwa wenzetu wanaokabilana na shida.
sasa kama mzazi kashindwa kumsaidia/KUMSIMAMIA MWANAWE HADI KAPIGA DIV YA UKWELI UNAFIKIRI NCHI NDIO ATAIWEZA?direct proportional
jamani mimi yule mwanaasha nimemzimia mbaya sijui mtanisaidiaje wana jf mi niko tayari kumsubiri mpaka amalize shule jamani msaada tafadhali