The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,079
ratiba za clinic zinakuhusuWakuu habari za wakati huu.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla na baada ya kujifungua.
Girl friend wangu anaishi kwake na mimi naishi kwangu, yuko financially stable ila I want to support her kwa vitu vyote vinavyohitajika.
Naomba kujua nahitaji kuandaa nini na nini ili niweze kupanga Budget yake mapema.
Ahsante.
A believer you mean a religious person, right?Are you a believer ?
NdioA believer you mean a religious person, right?
I am not.
Katika siku hizi za mwisho jitahidi kuwa karibu naye kimwili na kiroho..mliwaze kwa kila namna mpatie chochote kilichoko ndani ya uwezo wako ambacho utamfanya awe na furaha... MPENDEWakuu habari za wakati huu.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla na baada ya kujifungua.
Girl friend wangu anaishi kwake na mimi naishi kwangu, yuko financially stable ila I want to support her kwa vitu vyote vinavyohitajika.
Naomba kujua nahitaji kuandaa nini na nini ili niweze kupanga Budget yake mapema.
Ahsante.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla na baada ya kujifungua.
Naomba kujua nahitaji kuandaa nini na nini ili niweze kupanga Budget yake mapema.
Hongera sanaWakuu habari za wakati huu.

Acha ujinga, simama kama Baba! Financially stable ndio mnyama Gani? Je kama Kuna kidume chengine ndio kinamfanya awe stable?Girl friend wangu anaishi kwake na mimi naishi kwangu, yuko financially stable ila I want to support her kwa vitu vyote vinavyohitajika
Unataka kumtia wenge sasaππUmehakiki kuwa mtoto ni wako au unaenda tu ki nyumbunyumbu..?
Ukweli utamuweka huru si ndo wanavyosema!Unataka kumtia wenge sasaππ
π
Hongereni sana.Wakuu habari za wakati huu.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla na baada ya kujifungua.
Girl friend wangu anaishi kwake na mimi naishi kwangu, yuko financially stable ila I want to support her kwa vitu vyote vinavyohitajika.
Naomba kujua nahitaji kuandaa nini na nini ili niweze kupanga Budget yake mapema.
Ahsante.
Umeamua Kutibua Maji Yaliyotulia Ili Mtu Ashindwe KuyanywaUmehakiki kuwa mtoto ni wako au unaenda tu ki nyumbunyumbu..?
ππππππ ππ πMpaka Sasa Hivi Tayari Kakosa AmaniUkweli utamuweka huru si ndo wanavyosema!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umehakiki kuwa mtoto ni wako au unaenda tu ki nyumbunyumbu..?
Lazima tuambizane ukweri..πππππππ ππ πMpaka Sasa Hivi Tayari Kakosa Amani