Penzi kikohozi kulificha huwezi..Tangu mwanzo nilihoji sababu za Harry kutochagua mke kutoka "familia iliyo bora" badala yake kaenda kwa ma-nigga wa US. Nilitukanwa sana kwenye ule uzi; ona sasa, ndani ya muda mfupi machozi yameanza! Halafu sielewi, tangu unachumbia, taratibu mbalimbali zinafanyika, mnavalishana pete, send off, harusi, n.k. n.k. halafu hujawahi kuonana na baba mkwe ana kwa ana! Duh! Hii kali; huyo mtu atakuwa yuko duniani au kuzimu?
Baba yake Megan ni Mzungu usikurupukeTangu mwanzo nilihoji sababu za Harry kutochagua mke kutoka "familia iliyo bora" badala yake kaenda kwa ma-nigga wa US. Nilitukanwa sana kwenye ule uzi; ona sasa, ndani ya muda mfupi machozi yameanza! Halafu sielewi, tangu unachumbia, taratibu mbalimbali zinafanyika, mnavalishana pete, send off, harusi, n.k. n.k. halafu hujawahi kuonana na baba mkwe ana kwa ana! Duh! Hii kali; huyo mtu atakuwa yuko duniani au kuzimu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimetoka kumkatia simu baba mkwe,muda sio mrefu.
kweli " kakurupukaBaba yake Megan ni Mzungu usikurupuke