Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,020
- 156,481
Hili halina ukweli wowote na huyo alijiita tu Shahidi wa Yehova but kiukweli sio Shahidi wa Yehova ni Shahidi wa Wezi amini hili nililo kuambia hakuna Shahidi wa Yehova wa aina hyoUkiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Wangetwambia tu kuwa hatuna sifaHili halina ukwel wwte na huyo alijiita tu Shahd wa Yehova but kiukwel sio Shahid wa Yehova ni Shahid wa Wez amin hili nililo kuambia hakuna Shahid wa Yehova wa aina hyo
Kuna ugumu gani kusema hapana?Mbinu za kukataliwa hizo.
Wameshindwa tu kuwaambia ukweli.
Buji nyanaume unaniangusha Kikolo mbona kuna kampeni za kudodosha mikono ya sweta kwa nini usiongee na Dr wakupatie mzigo wa kutosha!!!. Jiongeze KikoloooUkiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari
Moja ya dhehebu gumu kabisa kuishi nao hata kwa ujirani tu ni hilo. Na kama wamekolea katika hiyo dini kuoa haiwezekani asilani. Hao hata kuimba mwimbo wa taifa kwao ni dhambiUkiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.
Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.
Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.
Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?
Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.
Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.
Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.
Isome mwenyewe hiyo barua.
Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.
View attachment 2350522
Sasa utata hapo upo wapi?Nilipokuwa Russia hiyo dini ya Jehovah Witness ilipigwa marufuku, ni watata sana, bora wafe kuliko kuongezewa damu
Wanauona ni wa Diamond na Ali KibaMoja ya dhehebu gumu kabisa kuishi nao hata kwa ujirani tu ni hilo. Na kama wamekolea katika hiyo dini kuoa haiwezekani asilani. Hao hata kuimba mwimbo wa taifa kwao ni dhambi kmmke
Punda wana govi?Tafteni magovi ya punda muwapelekee
Dini yeyote ni aina fulani ya ushirikina