Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Acha tu..kuna jamaangu kaishia madeni na umasikini kisa kuoa..kiukweli jamii imepandikiza kitu kibaya sana..kuoa imekua anasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu hiyo 280K mbona huku kwetu unapata mke kabisa. Wewe ndio umefanya ya kula ka sahani 1 ya wali maji ya kilimanjaro na kipapatio cha kuku! Duh..pole sana..waachie wenyewe kwa wenyewe.
By the way % kubwa ya mabinti zao hawana mpya 6X6!
kiukweli hawana maajabu hawa watu kwa bed.
 
Million 5 unalalamika wenzako wametoa million 10 nampaka Leo wanambiwa mahari haiishagi wachaga nihatarii
 
Raha ya Uislam ndio inaonekanaga kwenye matukio kama haya, kwa dini yangu mahar anapanga mwanamke, na ni yake sio ya wazazi, so unabonga na bibie kabisaa mnakubaliana so nataja unabeba chombo yako
Raha gani uzinzi tu mmewajaa..kila siku kuoana kama mbwa..wenye nyegezi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Raha gani uzinzi tu mmewajaa..kila siku kuoana kama mbwa..wenye nyegezi.

#MaendeleoHayanaChama
We pakashume tulia wewe mkosa akilii, uzinzi na nyie mnaoa mkiwa na miaka 40 kwa ma complication yasio na maana. Kwanza nyie mnaoa ndoa mnaijua kwendraaa
 
Unalipa laki tano deni linabaki. Washenga wako busara hawana au wakwe wamelazimisha cash?

Hata hivyo naona muda umepita mrefu
 
Ungepokea simu na kuwaambia huwezi kutoa pesa nyingi hivyo halafu unapiga kimya.

Chakufia nini
 
Mkuu pokea tu simu zao , uwaambie haurudi kwa kuwa mahali ni kubwa. Na uwatajie bei uliyonayo. Kama hawataki waache. Mwanaume lazima ajiamini na akisimika msimamo hang’oi!
 
Pole sana mkuu.
Mimi nilitajiwa mahari 2.6m ila nilipiga "kiswahili" kwa muda wa dk 45 hadi nikaeleweka tukafikia 800k, nikalipa 500k, mpaka sasa bado nadaiwa 300k na maisha yanaendelea na watoto 4 tayari
Ulilipa siku hiyohiyo ya bargaining?
 
Mkuu mrejesho muhimu, Ilikuwaje baada ya Kufanya maamuzi ya kutorudi ukweni?? Miaka imepita sasa.
 
Huku kwetu ukiwa na nguruwe wawili unabeba mke swaaafi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…