Baba mkwe kanisakizia mzigo!!!

Baba mkwe kanisakizia mzigo!!!

Salaam wadau,majuzi nilikuwa mkoa likizo,nilienda pamoja na familia yangu(yaani wyf na watoto),tulikwenda kwetu then tukapita kwao na waifu kusalimia siku mbili kabla kurudi mjini.

Kwa kuwa baba mkwe wangu ni mnywaji (japokuwa mi sinywi),nikaamua nimtoe kidogo tukapige stori mbili tatu huku tukilainisha makoo.

Wakati tukiendelea hapo bar,mara kapita dem wa haja,(ki ukweli alikuwa wa nguvu,anasifa zote za kila mwanamme kumtaman,usiniulize kuhusu tabia coz simjui) nikamkata jicho kiwizi wizi afu nikarudi normal.

Kumtizama baba mkwe nikamkuta yeye ndo kakodoa macho yote mpaka kaganda,baada ya kugeuka akanikuta namwangalia,akaniambia,nanukuu,"mwanangu,umeona chuma hicho?enzi zetu vitu kama hivi huwezi kuviachia vipite hivi hivi,mwanangu mi nishajizeekea sasa,we ndo bado kijana,unakubali kweli upitwe hivi hivi?"

Nilikuwa speechless,nikabaki kujichekesha tu.

Kuna baba wakwe wengine anaweza kutangaza wanawake wote aliofanya nao mapenzi. Huyo akikutania tu
 
not at all brodah!!

iko hivi huyu jamaa yeye kamtazam,a binti kwa jicho la wizi bamkwe kamwona akajikausha na akaendelea kumtizama binti kwa jicho la haki.

kimsingi bamkwe anajua wazi kwamba kutaman kwa mwanaume sio dhambi na hivyo kumtazama binti mrembo kwa jicho la haki sio kosa.

sasa jamaa anajidai malaika ilihali wanaume wameumbiwa kutaman na Mungu alisema tamaa ya mwanaume itakuwa juu ya mwanamke?? kimsing bamkwe kaonyesha uanaume ule wenyewe kwamba yeye hakutaka kijana achukue zigo ila alitaka kumwonyesha kijana uanaume ni nini.

sasa wamekuelewa
 
You are done... umemaliza kila kitu halafu umenifundisha pia.. kumbe kuangalia uumbaji wa MUNGU sio vibaya, mi mwenyewe nachekigi kiwiziwizi... hahahahaha, ntabadilika..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom