The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,356
Hivi vi-watoto vya miaka ya 2000 ni kero kweli kweli, ulianza je kuoa ukiwa kwa baba mkwe?Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Huyu Dem sijamuoa, ni Dem tu ila ninaishi kwenye nyumba alopewa na baba ake.Hivi vi-watoto vya miaka ya 2000 ni kero kweli kweli, ulianza je kuoa ukiwa kwa baba mkwe?
Hivi unagonga bint wa mtu pale pale na mama ake anapo gongewa hivi hizo hamu za ngono mnazipata wapi?Huyu Dem sijamuoa, ni Dem tu ila ninaishi kwenye nyumba alopewa na baba ake.
Dem saivi Yuko Ulaya lakini.
Kwa hiyo unaishi na baba mkwe tuHuyu Dem sijamuoa, ni Dem tu ila ninaishi kwenye nyumba alopewa na baba ake.
Dem saivi Yuko Ulaya lakini.
Punguza mawazo ya kimasikini, hii nyumba alipewa Binti wazazi wake hawaishi hapa.Hivi unagonga bint wa mtu pale pale na mama ake anapo gongewa hivi hizo hamu za ngono mnazipata wapi?
Ninapiga miayo Tu hapa Mzee na bodaboda yangu ya urithi kama vipi save namba yangu siku ya kutorosha vitu nitimbe fasta kukuhamisha Nina uzoefu huo..Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Kati yako na bint nani kaolewa? Dude angalia usije akapata mimba bure.Punguza mawazo ya kimasikini, hii nyumba alipewa Binti wazazi wake hawaishi hapa.
Yeah mkuu, màana mshahara wa mwezi huu mil2 haitoshi kulipa Kodi, kununua Tv,fridge vyombo jiko na hapo hapo ibaki ya Kitanda na godoro. Vingine inabidi nijiongezeWewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?
Naishi mwenyew tuKwa hiyo unaishi na baba mkwe tu
I wonder
Hamna aliyeolewa, ila tupo kwenye mpango wa ndoa. ila kwa mweno huu Mimi nataka kuachia botiKati yako na bint nani kaolewa? Dude angalia usije akapata mimba bure.
Ni 💩 tupu vichwani mwaoHivi vi-watoto vya miaka ya 2000 ni kero kweli kweli, ulianza je kuoa ukiwa kwa baba mkwe?
Poa, unapakigi maeneo gani?Ninapiga miayo Tu hapa Mzee na bodaboda yangu ya urithi kama vipi save namba yangu siku ya kutorosha vitu nitimbe fasta kukuhamisha Nina uzoefu huo..
Wewe angalia utatolewa posa bila kujua we endelea kulelewa hivo.Hamna aliyeolewa, ila tupo kwenye mpango wa ndoa. ila kwa mweno huu Mimi nataka kuachia boti
Aah yaani kama unamchungia nyumbaNaishi mwenyew tu
Lakini sishangai kuna yule Prof alisema ameokotwa jalalani kumbe ndio mwendo wenu MaprofesaWataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?