Baba mkwe anaponiambia nijiongeze ana maana gani au anataka kumuozesha binti yake kwa mwanaume mwingine?

Ndugu habar za saiz kwanza mtaniwia kwa rafudhi yangu, Mimi nina mke tunamiaka 3 ndani ya ndoa yetu mwaka tulio ingia kutimiza miaka 3 nilimuomba mke wangu nikatafute maisha DAR miez minne baadae na yeye nikamleta DAR akakaa mwaka mzima tukapanga tujikte kweny kilimo akakubali pia akarudi nyumbani kwa ajili ya maandaliz ya kilimo. Baada ya kilimo kufka mwishoni mke wangu ameenda kwao na baba mkwe amempokea pia hakunijulisha chochote nilijalbu kumpingia aliniambia nijiongeza kama redio ya mbao mke kumuuliza kilicho mpeleka anasema amechoka kukaa peke yake sas najiuliza maagano yetu yamekuwa bure? Na kama amechoka kukaa peke yake kule nyumbani amepata wakukaa nae mpyaa? Pia ananiambie niende nyumban kama siwez kwenda hawez kurud analazmisha na mim hapa DAR sio kibarua nimeajiliwa kuacha kwa kukurupka siwez nitakuwa nimevunja mkataba .. ...... sas najiuliza baba mkwe ana maaana gani kusema nijiongeze? Anataka kumuozesha bintie semu nyingine? Naombeni ushaur wakuu nifanyi kipi cha kuokoa ndoa hiii nimeweka mezani ,,asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaomba ushauri, Kuna maswali umeulizwa umepiga kimya.
Ni mkeo umemuoa au kumtolea mahari? Kama ni demu tu unatupotezea muda
 
Sawa
Mkuu usiache kazi, unachotakiwa ni kuomba ruhusa kazini ili uende kwao mke wako kujua nini tatizo.

Baadhi ya wanawake wanasema vitu rohoni, ukute kuna allegations anazo juu yako ndo zimemsababisha afanye hivyo.

Wanawake wengine akisikia kitu anakuuliza, na kama ni bifu linamalizwa. Ila huyo wako anaonekana ni style ya wale wanakaa navyo sasa vikimjaa ndo anafanya hayo maamuzi.

Nenda kamsikilize, halafu utajua kutokea hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi ni kitu muhimu katika maisha,mkeo alitegemea ungempa fedha akasimamie vibarua na matrekta yakilima shambani,inawezekana yeye huko shambani alikuwa akitumia nguvu zake kama kilimo cha enzi za zama za mawe za kale,akajitathmini akaona asije kuzeekea shambani na wewe ukiendelea kuona watoto wazuri mjini.
Nimekuwa natoa pesa kila mwisho wa mwenzi zakusimamia kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu habari za saiz kwanza mtaniwia radhi kwa rafudhi yangu, mimi nina mke tunamiaka 3 ndani ya ndoa yetu mwaka tulio ingia kutimiza miaka 3 nilimuomba mke wangu nikatafute maisha Dar es salaam miezi minne baadae na yeye nikamleta Dar es salaam.

Akakaa mwaka mzima tukapanga tujikite kwenye kilimo akakubali pia akarudi nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya kilimo baada ya kilimo kufika mwishoni mke wangu ameenda kwao na baba mkwe amempokea pia hakunijulisha chochote nilijaribu kumpingia aliniambia nijiongeza kama redio ya mbao mke kumuuliza kilicho mpeleka anasema amechoka kukaa peke yake.

Sasa najiuliza maagano yetu yamekuwa bure? na kama amechoka kukaa peke yake kule nyumbani amepata wakukaa nae mpyaa? pia ananiambie niende nyumbani kama siwezi kwenda hawezi kurudi analazmisha na mimi hapa Dar es salaam sio kibarua nimeajiliwa kuacha kwa kukurupuka siwezi nitakuwa nimevunja mkataba sasa najiuliza baba mkwe ana maaana gani kusema nijiongeze?

Anataka kumuozesha bintie semu nyingine? naombeni ushauri wakuu nifanyi kipi cha kuokoa ndoa hiii nimeweka mezani ,,asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
MKWEO ANAMAANISHA huna cha KUMPA MWANAE,,,kwani KWAO alikuwa hakuna KITANDA?alikuwa HALI CHAKULA?kakupa MWANAE UMPIGE JEGEJE,,,ndicho alichokuwa hakipati kutoka kwa wazazi,,sasa kaja kwako pia hapati JEGEJE,,sasa AKAE kwakok ASUBIRI NN?NDY maana YAKE mkuu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom