Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

Kama hii
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    49.6 KB · Views: 10
Huyo kijana hana adabu aache kunisemasema hovyo mitandaoni! Sio kula tu, nawafuga kabisa
 
Yule mnyama ana sura mbaya ila ni mtamu balaa
Hivyo hivyo wanaume wenye sura mbaya na wafupi ndo wana pesa balaa na mapenzi ya dhati.
Ni wewe kuchagua uende wapi.

Kale ka harufu kazuri akishakaangwa na ugali ukipokea getini unatamani kunyofoa moja uonje.

Hivi kwenye vitabu vya imani bwana pig alifanya kosa gani akalaaniwa? Au ni baada ya kujua ni mtam zaidi?
 
Majaribu ni mtaji..!!
 
Wardat weye ni kama miye lakini alhamdu lillahi ndugu zangu kwa mama ni waungwana mnooo,yaani nikiwepo utawaskia wananitaarifu kabisaaa n hawanishirikishi kabisaaa
Huyo sio mstaarabu tu baasi
Mimi sometimes wananunua ila kwangu hapana hawali na hawaleti hata wakija kwangu
 
Wewe dogo nani aliyekuambia kitimoto Haramu?
Kila mtu na starehe yake,maisha mafupi muache baba mdogo aienjoy maisha,
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    54.8 KB · Views: 9
  • images (7).jpeg
    10.8 KB · Views: 11
  • images (8).jpeg
    11.5 KB · Views: 9
Kheri anayekula ktmt hadharani kuliko wanaojisifia kufanya ufuska hadharani kimasihara tena kheri huyo hana madhara kuliko kuwa na marafiki wanafiki ambao ukiondoka machoni pao sio lolote , nduguyo angekataa kula kuku sidhani kama ungekuja hapa nakushauri mind your business kile ukionacho bora kwa mwingine cha kawaida sana RESPECT OTHER PEOPLE'S CHOICES !
 
Hebu onja finyanga moja utamuelewa baba mdogo. Ulipo mpokelea Ile harufu haikukufanya udondoshe mate?
Wewe onja utaniambia, mhaya mwenyewe anakuambia senene Ni takataka mbele ya kitimoto.
Nikuambie kitu imani ni kitu Cha ajabu mnooo yaani hata akionja kwa kua ni haramu kwake hataona utamu wake Mimi nshakula na sikuona hyo Ladha nilikua bahati mbaya ya aunty yangu na sitamani ndugu zangu wanakula mbele yangu ila walaa ht tamaa sipati
Ila nashukuru nimepata ndugu wazuri mnoo tumetofautiana kidini lakini hatukashifiani na tunapendana mnoo na sherehe zote tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…