bila shaka anajua ulipo kama hua anakufuatilia, hayo ni matatizo makubwa sana, kabla hujafanya chochote siku moja mweleze kila kitu mke wako, ila vya kawaida kuna vingine ukitoa uhalisia sana atakuogopa na wewe!
.
.
bila shaka kuna ndugu zako ambao unapatana nao sana, watafute mkae kikao cha ukoo, andaa pombe walau mchinje mle, mwanzo ukisema unataka upatanishwe na baba, umri wake unaenda huez jua maisha haya atadondoka lini, Mungu ndie ajuaye hatima ya maisha yetu anaweza kubadilika!
.
.
ukifanikiwa umpeleke sasa mkeo, ila unaenda bila taarifa, na usilale! uwe na chumvi ya kinga!
.
.
au cha mwisho unaweza ukamleta mjini ukawatafuta viongozi wa dini wakae nae hata wiki kumbadilisha, bila wewe kwenda kule!! Uchawi ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo, maeneo yenye watu kama hawa ni nadra sana kukuta familia inajitahidi hata kula vizuri, harufu tuu ya viungo ikisikika kwa jirani, jirani anaenda kulalamika kwenye kibuyu chake!!!
.
.