Mjomba wangu kaponea kifo.

Mjomba wangu kaponea kifo.

Ayatollah the Bird

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2026
Posts
247
Reaction score
556
Baba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.
 
Mjomba yangu ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.
Anataka kuchomoka madeni?
 
Baba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.

Na hapa ndio umuhimu wa mwanasheria unaonekana.

Unatafuta wakili na unapiga stop order .
Mume hakushirikishwa kwenye kuchukua mkopo wala kuweka hizo collateral.
 
Mtoa ni wakishua kaenda shule kwa magari ya njano ambako wanafundishwa mjomba ni ndugu wa baba au mama.
Sisi waswahili tunajua mjomba ni mama. Ndugu wa baba ni bamkubwa au bamdogo.
 
Baba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.
Pole zake
Wanaume tuoe akili na siyo shape
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom