GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya viongozi wengine waliopita na walikuwa wasomi hawakuwasaidia wananchi

Soma pia GE2025 - Baba Levo: Niacheni nikafanye uchawa lakini Kigoma ipate Maendeleo

"Kigoma iliongozwa na wasimo wengi lakini wameshindwa kuisadia kuleta maendeleo ndio maana sasa hivi tumemua kwenda wenyewe bungeni kujitetea" - amesema Baba Levo


 
Bungeni sio sehemu ya kwenda kupigs makelele na kugonga meza tu. Kuna kupitisha sheria pia, sasa kama hauna elimu hautajua hata ni nini kimeandikwa kwenye muswaada. Kama wasomi waliopo hawajaleta tija basi tuwatoe tuweke wasomi wengine ambao tunaona wana weledi. Lakini kuwatoa wasomi kuwaweka wasiosoma ndio tutaaribu kabisa.
 
Back
Top Bottom