sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,926
Sawa sawa jina gumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwani lazima niku-post? Unaonaje? Unavyovimba unaonaje?
Asa kwanini nkupost utaonaje unavyovimba utaonaje yani kwanini nkupost utaonaje unavyoringa utaonaje?
Nasema kwanini nikupost utaonaje unavyovimba utaonaje asa kwanini nkupost utaonaje unavyoringa utaonaje utaonaje×4.
Unavyovimba utaonaje×2.
Huu wimbo aliimba nani huko usafini? Alafu ukishajibu niambie maana ya hayo maneno
View attachment 2806389
Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.
Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.
Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?
Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?
Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.
Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?
Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.
Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
Acheni uzwazwa, akaunti ya mtu ni binafsiView attachment 2806389

Yeye ndio kafungia nyimbo au basata ndio wamefungia,Sasa kama wimbo maadili ya hovyo uachwe kwanini? Ufungiwe tu, juzi tu wimbo wa Zuchu umewacost watu nafasi zao za ualimu mkuu na lawama zikaenda basata kwanini hawakuufungia wimbo wa Zuchu kama hauna maadili ? Acha mihemuko fikiri vizuri kabla hujaleta hoja ya kujadili humu.
Endelea kuosha makalio wazee wa kizungu. Hopeless slaveMondi akulipe overtime
Ile ni a/c yake binafsi
Ungeomba wizara impost ktk a/c ya wizara ingependeza zaidi...
Muombe waziri Hon. Ndumbaro atekeleze hili itapendeza zaidi
Mambo binafsi yawe binafsi na ofisi iwe hivyo ya kiofisi
Ujumbe wa Zaka za kazi kwenda kwa baba Levo nasio Revo (Jina la mwanae ni Levo😂🤣) akazingatia ushauri aliopewa
Hivi nchi hii jambo muhimu na namba moja ni la wakata mauno tu
Ova
Bongo ukifanikiwa unachukiwa WAZIWAZI bahati nzuri hakuna aliyeingia bifu na Diamond halafu akashinda...View attachment 2806389