siasa za udini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Usiyoyajua kuhusu "Sheikh" aliyetishia kukata vichwa wananchi watakaondamana. Ni mwanachama wa CUF

    Huyu jamaa ndo yule alotishia kwamba watakaondamana atadeal nao Kupitia X wananchi wakiongozwa na Hilda Newton wameanza kufukua mafile yake. Jina lake halisi ni Ibrahim Bakonzi. Kupitia ukurusa wake wa Facebook watu wameona kwamba pia ndio anamiliki akaunti ya Youtube yenye maudhui ya Kiislamu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akemea Siasa za Udini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo, amekemea vikali siasa za udini katika kuomba ridhaa kwa wananchi, akisema kuwa siasa za aina hiyo hazina tija katika maendeleo ya jamii. Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji...
Back
Top Bottom