Baba lao video is Out (Diamond Platnumz)

Director wa Video kaitendea haki, japo imetolewa kuififisha UNO
 
Mm binafsi sijaielewa hii nyimbo ni ya taarabu.,singeli.,baikoko au mnanda?!...yani pamoja na kuiba nyimbo ya mtu bado unatoa nyimbo mbovu..kweli cku za domo zinahesabika
#R.I.Pdomo
 
Mm binafsi sijaielewa hii nyimbo ni ya taarabu.,singeli.,baikoko au mnanda?!...yani pamoja na kuiba nyimbo ya mtu bado unatoa nyimbo mbovu..kweli cku za domo zinahesabika
#R.I.Pdomo
Kama siku zako zinazohesabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…