Ntolonyonyo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,231 Reaction score 2,361 Apr 19, 2017 #41 Haha....itakua wivu....kuona kidume kingine kitakua na mamlaka juu ya mwanae, kinaweza mtesa huko etc
Haha....itakua wivu....kuona kidume kingine kitakua na mamlaka juu ya mwanae, kinaweza mtesa huko etc
rock17 Senior Member Joined Mar 31, 2017 Posts 157 Reaction score 65 Apr 19, 2017 #42 Atakuwa kati ya wale kuku wanaojishindia urojo wa mayai yao wenyewe !!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,728 Reaction score 870,463 Apr 20, 2017 #43 mitale na midimu said: Click to expand... Moyo wa mtu ni kiza kinene
Tuwaseme JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 645 Reaction score 1,198 Apr 20, 2017 #44 Hapo ni kuwa baba haamini kwa jinsi mtoto wake alivvyokuwa malaya kapata bwana..
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,401 Reaction score 31,659 Apr 20, 2017 #45 Uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Baba ana haki ya kumlilia bintiye.