BABA kumlilia mtoto wa kike anapoolewa, tunajifunza nini

BABA kumlilia mtoto wa kike anapoolewa, tunajifunza nini

Jaribu kumwambia shida unayopata na kumuomba abadili avatar zake kwa usalama wako, hahahahahahaha
CHIKIRA MTABARI

Hiyo Avatar Yako Naona Kuna Watu Watatu Wamesimama

Kati ya hao watu watatu wewe ndo yupi/umevaaje?
 
Hii inawezekana ni mila ya baadhi ya makabila. Siyo mababa wote wanawalilia mabinti wao wakiolewa.
 
5150939_178826541123611826498701137672201747562496n_jpegf50f491a4aef1a7309fab3ef4ee848d6

5150990_photogrid1492083834385_jpeg6731e1bd4bb3bf4a5b7519138b64a0bd
Itakua mshua anamuonea wivu mkwe wake jinsi atakofaidi
 
Anajua jinsi baadhi ya wanaume walivo wabay anaogopa yasije mkuta binti yake
 
Anacholia pengine anaona binti yake mrembo sana. Kamlea na kumpa huduma zote. Halafu JAMAA TU fulani anakwenda KUMPASUA...ndy maana kuna kabila fulani INDIA.. Ukitaka kuoa lazima BABA MKWE. Akugegede kwanza. Ndy desturi hyo. Kama hutaki huoi
 
Atakua anakumbuka anavomzaba vbao mama yeke sasa anawaza huyu mwanae atakavopigwa na kupelekeshwa stail za hapa na pale

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom