BABA kumlilia mtoto wa kike anapoolewa, tunajifunza nini

BABA kumlilia mtoto wa kike anapoolewa, tunajifunza nini

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
5150939_178826541123611826498701137672201747562496n_jpegf50f491a4aef1a7309fab3ef4ee848d6

5150990_photogrid1492083834385_jpeg6731e1bd4bb3bf4a5b7519138b64a0bd
 
Mtoto ni mtu wa pekee sana hasa kama mlikuwa mnaishi kwa amani na kuheshimiana utalia tu machozi.

Ila akiwa kicheche mruka ukuta utalilia nini badala yake utawatafutia bodaboda ili awahi kufika kwake mapema
 
Hiyo mipaja yake inanitoa udenda..........avatar zake zote lazima kuwe na BBBW
Jaribu kumwambia shida unayopata na kumuomba abadili avatar zake kwa usalama wako, hahahahahahaha
 
huyu dada ataachika muda sio mrefu anaonekana mtoto wa tajiri mwenye madharaau.kila kitu itakuwa ni my dad this my dad that
Duh!!Hiyo Avatar yako Miss Natafuta

Nimejaribu kuchungulia kwa mbele sijaona chochote eti!!,

Nimeona shanga tu[emoji85]
 
Back
Top Bottom