tibe_j
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 794
- 1,078
Jambo usilolijua ni Giza Totoro.Toka lini PSU wakawa na uniform yao tofauti? Kwanza TISS hawana uniform! Hebu elezea zaidi chief!
Jambo usilolijua ni Giza Totoro.Toka lini PSU wakawa na uniform yao tofauti? Kwanza TISS hawana uniform! Hebu elezea zaidi chief!
Ndio maana tunauliza ili tupate kujua!! Kuficha ficha taarifa sahihi ndio kunazaa taarifa zisizo rasmi huko vjiweni!!Jambo usilolijua ni Giza Totoro.