Baba Diamond Ashinda Njaa

Waheshimu Baba yako na mama yako no matter what...bila wao usingekuwepo duniani
 


Kuna watu wa ajabu sana Dunia hii kama wewe unawezaje kumuhukumu mtu usiyemjua? Unamjua Diamond kwa kiasi gani mpaka uweze kuandika uliyoandika?
Unajua historia ya maisha yao?
 
Mahojiano marefu CloudsTV kuliko video clip ya Global Publishers TV (TV na Magazeti Pendwa ) na Baba Diamond ili wadau muweze kujua zaidi bila ya kutoa hukumu:

Mahojiano ya CloudsTV na Baba mzazi wa Diamond nyumbani kwake Magomeni :

Abdul ni baba mzazi wa mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ambapo D'wikend chat show ya CloudsTV ilimfata na kumfanyia mahojiano nyumbani kwake Magomeni na kuzungumzia mengi ya maisha yao toka enzi hizo na mengine ya sasa:

Source: Millard Ayo
 
Haya jishindie nyumba ya milioni 500 hapo kwa kununua Shigongo. Swali: Kwanini kavaa sandals na soksi hivyo wakati anapigwa na joto? Maumivu mengine ni ya kujitakia
 
The law of karma imefanya kazi yake kwa huyo mzee wa diamond.

What goes around comes around.
Aisee big up Diamond! Huyu baba kabla hajaenda kwenye vyombo vya habari kumdhalilisha mwanawe aweke wazi mchango wake kimakuzi kwa mtoto wake. Vinginevyo anazidi kujidhalilisha zaidi. Alikosana na mkewe iwewje atelekeze na watoto? Nina wachukukia sana wanaume wenzagu wa aina hii. Binadamu uwe mwanamke au mwanaume ukazaa na kukimbia wajibu wako wa kulea thamani yako inakuwa ya chini kuliko mbwa koko!
 
kati ya wewe na mama diamond nani anajua baba halisi wa diamond, kati ya mzawa na wewe nani anajua uchungu wa baba yake!
 
Siyo kweli, huyo mzee anashida kwa taarifa yako kama haujui kusoma sura ya mtu akiwa anaongea.
 
umezungumza la maana sana mwanangu, najua utakuwa binti wewe au kama mvulana basi mwenye kujua maana. naona wengi humu wanabwabwaja tu
 
baba yangu yupo kijijini anahangaika na maisha lakini hajawahi nisema kitaa kuwa sijampa hela! anajua haitasaidia. sasa huyu na nguvu anazo anasimamaje na kumpaka tope mtu! kakuambia Zari alikuwa anamsaidia sana,,iweje leo hii aisimsaidie!,ujue ana gubu. anadai wala hataki kumuona zari tena.,huu si ujuha! hutaki kumuona mtu ambaye mwanao anabinua mkundu juu yake ,! sasa kama zari kakosea na huwezi msamehe iweje ww usamehewe!
 
Kama anapata milo mitatu kwa siku anahitaji nini zaidi? Kufatana na Diamond?

Kwanza kuna uzi humu unasema huyo si baba'ke mzazi. Asijipendekeze.
anadai hataki kumuona zari ambaye kila siku anaunyonya iwe kwa mdomo au papuchi udagaa wa diamondo, kama kashindwa kumsamehe na kumtambua zari ambaye alikuwa anamsaidia na kujaribu kuwaunganisha, leo hii anataka diamondo amsamehe vipi yeye. maongezi yetu humu jf hayamsaidii lolote akajiunge katika kilimo. baba yangu na mama yangu hawaishi pamoja lakini kila mmoja analima kweli
 
Diamond ili kuepuka laana msaidie Mzee wako ata kama alikukimbia una mahela mengi mtupie at a vilaki vilaki kumbuka kakupa na kipaji cha kunjunja nawe hujambo, nawe mbona umewakimbia kina wema, penny, jokate madem kibao tu sasa we unamkomalia Mzee wako Lisa hill io ndo raha ya tam, pengine hats angekulea usingefikia hapo
 
Waheshimu baba na mama yako ili upate heri na siku nyingi duniani. Amri ya tano hiyo, Kutoka 20. Haijalishi how bad did daddy mistreat you, mbariki ili upate ahadi hizo toka kwa Mungu. Ingawaje wazazi wanapaswa ku-win upendo wa watoto wao wakingali wadogo (age 0- 10) hasa wazazi wa kiume. Take a time kumuogesha mwanao hata kama ni wa kike, mvishe nguo, msaidie kunawa anapojisaidia haja ndogo na kubwa, kula na mtoto, toka naye outing ndogo ndogo, talk them friendly. Usiwe mere bread winner kwa watoto! Otherwise mkeo/ mzazi mwenzio atateka ufalme na umalkia wote. We learn through the mistakes of the others.
 
kati ya wewe na mama diamond nani anajua baba halisi wa diamond, kati ya mzawa na wewe nani anajua uchungu wa baba yake!

Mkuu, mimi sijui. Naona tu unataka kuifufua hii thread kwa maswali ya kipuzi wakati majibu yake unayajua.
 
Mkuu, mimi sijui. Naona tu unataka kuifufua hii thread kwa maswali ya kipuzi wakati majibu yake unayajua.
Basi sasa kama haujui nami sijui, hivyo tuwaache watayamaliza wao! kila siku baba diamond. tunahitaji vitu vipya vya kusikia
 
Watanzania tuache kushabikia ujinga huo baba ana nguvu za kutosha kufanya kazi na kujitegemea; bado hajafikia umri wa kuwa tegemezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…