Baba Diamond Ashinda Njaa

Kutoa matumizi ya Nyumba mbili ni ngumu sana. Diamond hajakosea kuamua Kutoa matumizi ya pale alipokulia tu. Km mshikaji anataka huduma basi arudi huko diamond alikotoa matumizi, mtu wa kumlalamikia sio diamond ila ni mkewe ampe huduma. Mtu hayuko nyumbani utamsaidiaje. Afu huyu jamaa sio mzee ni kijana kabisa afu kanyoa kiduku kuashiria kuwa yeye ni wa kisasa
 
Abdul ni jina tu, Abdul wako wengi kwa hiyo sio issue
 
huyu mtoto wa kariakoo, walikuwa wanacheza mpira na mbwiga wa mbwiguke Enzi hizo
 
Ah
Kama anapata milo mitatu kwa siku anahitaji nini zaidi? Kufatana na Diamond?

Kwanza kuna uzi humu unasema huyo si baba'ke mzazi. Asijipendekeze.
Aaaha! Wewe Mazaa nawe kila Kona upo........By the way huoni ule Mbichwa Ni Kama Diamond?
 
kweli kabisa hata kama ana njaaa sio kujidhalilisha kiasi hiki
 
Hamna cha laana wala nn hiyo ni fundisho kwa mababa wengne wasiojua kuonyesha mapenzi kwa watoto wao.
 
Angalia pamba alizopiga mzee,angalia mnyoo,angalia anavyong'aa usoni,does he look like someone in trouble to u??...Mzee ana Nyumba magomeni...baba mwenye Nyumba tena magomeni karibu na town unashindaje na Njaa??unanyuka pamba kali afu ushindwe pesa ya kula??afu huyu hakupotezana na mwanae,huyu alimtelekeza Mwanae,alijua mwanae alipo na still hakutoa matunzo...ss issue ya kusamehe ni ya diamond,maana yy ndo anajua mateso aliyopata wakati mzee wake anakula bata,we don't have the right to judge au kushinikiza kitu abt this..
 
Hapa ni duniani tu tujifunze kusameheana kama mafundisho ya mwenyezi Mungu.Amekosa ndio lkn anayo haki ya kusamehewa.Diamond siku ya hukumu na ww ukiomba msamaha kwa Mwenyezi si utahitaji kusamehewa? Basi anza kusamehe hapa dubiani pia hamna mwanadam mkamilifu!All the best!
 
je mama yake diomond waliona na huyu mtu?au ni kama vile yeye na zari?? Kwa uelewa wangu dini zote zinahimiza ndoa ili kusudi kuwe na fungamano la kiiman kwamba huyu mwanangu .katika dini ya kiislam inatmka wazi kua mdhinifu basi ataoana na mdhinifu mwenzake.Huu ni mda diomond kufunga ndoa.Tena huko bara walau mtoto anafuatiliwa kidogo zanzibar hakuna huo upuuzi.Wabara wengi waliozaa na wazanzibat nje ya ndoa wazi wazi wana ambiwa huyo mtoto hatumtambui atatambulika na baba yake tu.Kisheria ya dini ya kiislam .Diamond akifariki bila kumuandikia mali latifa nasib tena kwa kiwango Flan uislam haumtambui kwamba ni mrithi halali.Pia atakapofika age ya kupata mchumba muislam wakaamua kuona basi kadhi wa dini ndio anatakiwa atoe idhini yani diomond hawezi kutoa idhni ya ndo kua nimekuodhesha.Diomond atapopata vizazi kama hivi vya nje ya ndoa ,na akaanguka kimaisha bs vizazi hivi vinaweza kumfanya kama anavyomfanya yeye babake.Nasisitiza mungu hukasirishwa na watoto wa nje ndoa.Ikiwa wewe ni mkirsto una amini mungu basi jua hilo .
 
Watoto wanapaswa kuwaheshimu wazazi wao, bila kujali waliyowafanyia.

Lakini wazazi pia wawe na aibu kuwafuata watoto waliowatekeleza.

Mzazi ana haki ya kumtunza mtoto aliyemleta duniani, lakini kwa mtoto kutunza mzazi si lazima, ila baraka.

Mzee Diamond aache kulialia, kila siku kushinda kwenye magazeti. Kama Diamond asingekuwepo angemsumbua nani leo? Akubali kuhukumiwa kwa makosa yake ya nyuma, moja ya hukumu ni kukataliwa.
 
Umenena vema mkuu,hata sisi baba yetu hakutusomesha na pesa alikuwa nayo lakini mama alikomaa tukasoma na baba akafulia akawa home tu tulimjali sana mpaka akafariki akituombea baraka tele

Mkuu tuko pamoja siku zote sikio halizidi kichwa, mzazi ni mzazi tu haijalishi kakufanyia nini.

Kuna watu wanadhani Diamond ndio wa kwanza, kumbe sivyo haya majaribu yametukuta wengi. Hadithi yako mkuu, kwa ukaribu inataka kufanana na yangu haina haja ya kuiweka hapa...huyu Diamond pesa zinamdanganya, na mama zetu hawa wakati mwingine utengeneza chuki. Ninachoamini huyu Diamond bado ni mtoto ajifunze kuwa yeye sio wa kwanza asimame kwenye nafasi yake kama mtoto na akumbuke maandiko.
 
Kabla Diamond hajawa na pesa yeye alikuaga ameshiba tu,diamond alivyoanza kuwa na pesa na dingi ghafla akaanza kuwa na njaa tena kali!
Kwani haikumpasa diamond kwenda kutafuta pesa?
Huyu mzee hata hio kuumwa miguu naona kama anaZuga ili apate huruma.
Hii ni mfano kwa wanaume wanaowakimbia watoto wao!!


Mnajua maana ya Baba??

Acheni ubwege iyo laana lazima imtafune no matter what lazma itamrudi ndomo
 
Mzee anaonekana mtoto wa mjini msela Sana, bring bring na silver shingoni ... Gharama za kutibu miguu wamepanga na Dr???? Ktk hili suala kuna jambo limejificha. Siwezi Amini mtoto anaweza kumchukia mzazi kiivyo, Hana washauri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…