Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

Mimi nayaheshimu maoni yako lakini sikubaliani nayo.Corona ni kama wapinzani ni kauli ya ajabu saana....Nape wetu kwa vile kesha omba na kasemehewa,arudishwe asap

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe akili za wapinzani unazionaje?
Kumchukua lowassa watu wamedeki barabara,halafu karudi ccm akiwaacha doofu l hali,kuliko alivyowakuta
 
Jina le nyewe limeamua kudefine mtu na fikra zake. Tujitahid kuwapa watoto majina yenye kuwapa hekima na yenye kuwapa fikra Pana..zamani ubaguz zamani ulikua mioyoni mwa wasiosoma leo hii ubaguz unaenezwa na wasomi kaliba ya pole pole..mi nijuiuliza kwenye ubaguz huu wanataka wavune nini badae???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu polepole anajua kweli kwamba wapinzani wanamaneno ya shombo ambayo wakiyatoa yanakera mpaka asitamani kutoka nje. Akumbuke mwanzo wa msajili wa vyama kuweka kanuni za maadili kati ya vyama ilitokana na maneno ya shombo ambayo yaliwaelemea CCM. Wapinzani wanafanya siasa za kistaarabu yeye anajifanya kurudisha enzi za zamani, aangalie!
 
Maaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa
Sema hawa jamaa sijawaskia wakiwakosoa upinzani as if hawakosei...
 
Back
Top Bottom