Baba amtupa mtoto wake wa kike kutoka juu ya bati

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
4B1BA06200000578-5611277-image-a-2_1523604965218.jpg

4B1BA05E00000578-5611277-image-a-3_1523604968695.jpg

4B1BA05500000578-5611277-image-a-4_1523604972504.jpg

4B1BA07A00000578-5611277-image-m-8_1523605222504.jpg

4B1BA06700000578-5611277-image-a-5_1523604974308.jpg

south afrika.
Mtoto alidakwa na polisi ndio ikawa pona yake.
mzazi alifanya hayo kuonyesha kutoridhishwa na kubomolewa makaz.i
 
Noma sana.
Africa kila sehemu hakuna penye haki ukija bongo ndio balaa barabara inaonekana live inataka kuwafuata wananchi ila wananchi ndiyo wanaambiwa wameifuata barabara hivyo lazma nyumba zibomolewe na cent tano mbovu hawapewi pia hata kakiwanja 20×20 hawapewi.

Halafu wakati huo huo mkuu wa wote anasogea mkoa mwingine anatangaza neema kwa wanaoonekana the same na pale pa mwanzo akiwapa onyo wale aliowateuwa kwamba hawa msiwabomolee coz ndiyo walionifanya nikawa hivi.inasikitisha sana,hata hao weupe wakituita manyani tusishangae maana in reality wengi wetu hatupo sawa vichwani tukianza na hao wanaotuongoza.
 
Ukibomolewa nyumba ndio utupe mtoto kutoka juu ya paa?

Mtoto ndie aliyeamrisha nyumba ibomolewe?

Huyu jamaa ni first class idiot, na yeyote anaemtetea hana tofauti nae!
 
Noma sana.
Africa kila sehemu hakuna penye haki ukija bongo ndio balaa barabara inaonekana live inataka kuwafuata wananchi ila wananchi ndiyo wanaambiwa wameifuata barabara hivyo lazma nyumba zibomolewe na cent tano mbovu hawapewi pia hata kakiwanja 20×20 hawapewi.

Halafu wakati huo huo mkuu wa wote anasogea mkoa mwingine anatangaza neema kwa wanaoonekana the same na pale pa mwanzo akiwapa onyo wale aliowateuwa kwamba hawa msiwabomolee coz ndiyo walionifanya nikawa hivi.inasikitisha sana,hata hao weupe wakituita manyani tusishangae maana in reality wengi wetu hatupo sawa vichwani tukianza na hao wanaotuongoza.
Wala haina uhusiano
 
kama alikua anadhamira hio kwann asingefanya mwenyewe tu hadi amsubiri polisi ndipo atekeleze dhamira yake
inaonekana kuna zoezi lilikuwa linaendelea. yeye anatishia wasipoacha atamtupa. alipoona anakaribiwa akaona afanye kweli.
ila kuchelewa kulisaidia polisi kujipanga na kumdaka mtoto huko chini alikotupwa.
 
Back
Top Bottom