Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,042
Huyo mama ni mpumbavu na lofa kbs, how can a father kill a child na yeye akiwepo hapo asimnyakue mtoto na kukimbia nae? RIP poor child..
Kwanini kwenye kila makosa (ya kishenzi) ya jinsia ya kiume mnalazimisha na wanawake wawepo?
Kosa la mke hapo ni lipi? Ukute huyo dogo alikua amekunywa kisungura akajiona jabali.