Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

Naona umeanza kuwashwa sasa, na hivyo umeamua kuniimbia na taarabu kabisa. Jikite kwenye mada. Acha kulazimisha kuwazoea watu usiowafamu.
Wewe una hoja gani? Nimeuliza kistaarabu ukasema ni upuuzi.

sasa mpuuzi ni wewe na si Mimi.

Pointi yako ni ipi? Maana mpaka sasa ni kama kasuku tu.
 
Kuna vijana wa miaka 19 hadi 23 wanamiliki uchumi unaoeleweka na wanahudumia hadi familia zao wakiwemo ndugu na wazazi.

Aise huko kwenu nadhani mnaanzaga kutoka makwenu kwa wazazi mkiwa na miaka 30 ndiyo mnajiona angalau mmeanza kuwa vijana.
hajakomaa kiakili mkuu ndo maana nasema mtoto.
maana mtoto kulia ni swala la kuchunguza shida nn hadi alie.
sikuwa na maana tofauti na hapo
 
Siku hizi umri wa mtoto umepanda kutoka miaka 17 hadi 20?

Kama na wewe unaamini mtu wa miaka 20 ni mtoto una safari ndefu ya kufanikiwa kimaisha maana hata ukiwa na miaka 25 utasema bado mtoto kwahiyo suo muda wa kutafuta maisha.
naona umeenda mbali mkuu.
anyway kasome Cap 20 s.2 RE 2022
alafu unirudie
 
Kwa hiyo huyo mke hakuona huyo mtu keshakuwa kichaa afanye jambo kuokoa uhai wa mtoto?

Kimo kati ya mke na mume unakijua?

Ukubwa wa mwili wa mke ukoje ukilinganishwa na mume?

Kama sijakosea nimesoma kwamba alimpiga mke pia katika tukio hilo, sasa baada ya mke kupingwa bado alikua na nguvu za kuweza kumzuia?

Umewahi kukabiliana na kijana “anaejifanya” kichwa imewaka moto? Kumkabili kijana mlevi je?
 
Daah nilijua tu Geita watafanya comeback.. Hayaa kituo kinachofata ARUSHAA. soon unasikia bomuuu alfu mpira utarudi Njombe
 
Siku hizi umri wa mtoto umepanda kutoka miaka 17 hadi 20?

Kama na wewe unaamini mtu wa miaka 20 ni mtoto una safari ndefu ya kufanikiwa kimaisha maana hata ukiwa na miaka 25 utasema bado mtoto kwahiyo suo muda wa kutafuta maisha.
Miaka 20 no katoto sio mtoto...!! Yani akili inanuka maziwaa kabisaa..
 
Kimo kati ya mke na mume unakijua?

Ukubwa wa mwili wa mke ukoje ukilinganishwa na mume?

Kama sijakosea nimesoma kwamba alimpiga mke pia katika tukio hilo, sasa baada ya mke kupingwa bado alikua na nguvu za kuweza kumzuia?

Umewahi kukabiliana na kijana “anaejifanya” kichwa imewaka moto? Kumkabili kijana mlevi je?
Nimeonaa Clip insta mama wa huyo mtoto anasimulia ilivyokuwaa yani Yule mama nae ni dish limeyumba kama kajamaa kakeee.. hajitambui kabisaa mtoto alianza kupigwa makofi.. then mkandaa na viatu yeye anaangalia tuu mpaka mtoto kafariki.. KIUFUPI HUYU MAMA NAE AONJE JELA.
 
Hapo kuna zaidi ya hilo lazima kuna mazingira ya usaliti ambao umeabainika na baba kaona mtoto anampigia kelele wakati si wake…

Kama kumuua lazima angemuua akiwa na mwezi…huyo kagundua sio wake….
 
Hapo kuna zaidi ya hilo lazima kuna mazingira ya usaliti ambao umeabainika na baba kaona mtoto anampigia kelele wakati si wake…

Kama kumuua lazima angemuua akiwa na mwezi…huyo kagundua sio wake….
Yani hata mama wa mtoto anavyosimulia kwa namna moja au nyingine aliridhika na jambo analofanya mumewee wale wote waalifu.
 
Back
Top Bottom