Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

Maana alivyoona anampiga isivyo kawaida, fasta angeomba msaada kwa majirani
Hapo juu mie nilipendekeza angekwapua mtoto na kukimbia nae, inaumaje kuona mtoto mchanga anapigwa mikanda na wewe unaangalia kama mama eti hauna cha kufanya, its obvious mpigaji alikuwa tayari ameingiwa na kichaa so altenative ilikuwa kukwapua mtoto na kukimbia au kupiga kelele za kuomba msaada
 
Mwamba hataki makelele ya mtoto 🤣🤣 huyo wamkimbize Mirembe chap kwa haraka
 
mtoto kaua mtoto
Siku hizi umri wa mtoto umepanda kutoka miaka 17 hadi 20?

Kama na wewe unaamini mtu wa miaka 20 ni mtoto una safari ndefu ya kufanikiwa kimaisha maana hata ukiwa na miaka 25 utasema bado mtoto kwahiyo suo muda wa kutafuta maisha.
 
mtoto kaua mtoto
Kuna vijana wa miaka 19 hadi 23 wanamiliki uchumi unaoeleweka na wanahudumia hadi familia zao wakiwemo ndugu na wazazi.

Aise huko kwenu nadhani mnaanzaga kutoka makwenu kwa wazazi mkiwa na miaka 30 ndiyo mnajiona angalau mmeanza kuwa vijana.
 
Bila shaka na wewe uko kwenye umri huo, na ndiyo maana umeniuliza haya maswali yako ya kipuuzi/kitoto.
Nafikiri wewe ni mpuuzi mkubwa kuwahi kutokea.
Umri kisheria wa mwanaume kuoa ni upi? Kama mwanaume huyo alikuwa tayari yupo kubeba majukumu nini kinasababisha asioe?

Sheria inatambua umri miaka 18 ni mtu mzima ila mpumbavu wewe huna ulichoandika zaidi ya kuonyesha upumbavu mwingi ulionao.

Kukataa kwako kuoa sababu ya kukimbia majukumu au stori acha wanaume waoe wewe tulia.
 
Naona umeanza kuwashwa sasa, na hivyo umeamua kuniimbia na taarabu kabisa. Jikite kwenye mada. Acha kulazimisha kuwazoea watu usiowafamu.
 
Back
Top Bottom