Baadhi yetu wanaume tuna roho mbaya Sana

Baadhi yetu wanaume tuna roho mbaya Sana

Asante mkuu.
Siku zote. Mwanaume mwenye roho mbaya ndiyo anapendwa sana na wanawake kuliko wenye roho nzuri. Huo ndiyo ukweli japo huwezi kuamini. Mke wa mwenye roho mbaya huvumilia vipigo vyote hata kama jamaa anasaliti lakini mwanamke hawezi kuchepuka. Wewe mwenye roho nzuri utagongewa sana mpaka utajihisi una mkosi.
 
ukwel unaweza kukuumiza lakini ukawa tiba baade na rafiki wa kweli ni yule anakuwepusha na mambo yasiofaa hata Kama njia anayotumia inaweza kukukwaza kuliko rafiki anayelea mambo yakijinga ya kwako.
rafiki yako akiwa anaafanya upumbavu unamkanya mara kadhaa,,, akigoma unamkwepa sio rafiki huyo....kuingilia ya ndani ni chanzo cha mafarakano......kumbuka wanakazana hao.....akikolea atamwaga yooote....kuwa wa kiume maneno maneno waachie wanawake......
 
Mkuu, minakushauri umwambie huyo rafiki wako amuwache mkewe ili akuowe wewe...
 
Jaman jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mieee
Japo umesema wanaume tuna roho mbaya ila rafiki yako hana roho mbaya. Maana ungekutana na sisi wenye roho mbaya urafiki ungekufa hapohapo
 
Back
Top Bottom