mvunjamiwa
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 453
- 116
Tuwasaidie Wazanzibari kuuvunja Muungano. Uvunjike mapema ili watoto wetu warithi utengano wetu badala ya kurithi harakati zetu za kijinga zinazochochewa na viongozi wetu wasiojitambua! Amin nawaambia harakati za kuuvunja muungano hazijaanza leo wala jana, zimeanza siku, miezi na miaka mingi hapo nyuma, wakati umefika na katu hakutakuwa na muafaka wala suluhu zaidi ya kuuvunja kwa amani.