Baadhi ya Wazanzibari walio Bara ni wanafiki

Pumbavuu sana nani kakwambia kwamba Wadanganyika wananyanyaswa huko zanzibar??? wewe hujui jeshi la wabongo pamoja na mapolisi ndio wameua watu huko katika chaguzi zilizopita..wewe hujui wazanzibar wameuliwa kwa kupinga muungano? wewe hujui hujuma imefanywa na watanganyika? wewe hujui kuna wa bongo kibao wanafanya kazi SMZ ? wengine wakurugenzi?
wacha ushamba wa na uzezeta wa akili ati na Wa asia? khaaa uchafu kabisa....una akili mbovu , ya kivivu, iliyo choka..na huku unataka wewe uwe juu ya wengine wanao fanya kazi nz kutumia bongo zao!!1
wewe huji kwamba serikali ya tanganyika ni 100 % ya wabongo..wazanzibar walioko huku hata wakisoma mpaka mwishi wa dunia hujui kwamba hawapati kazi katika serikali ya Tanganyika hata kama vijana wao wamezaliwa hapa? labda iwe mtoto wa mkubwa wa CCM..

WEWE hujui kwamba hakuna mu ASIA aneajiriwa serikalini ? ni ubaguzi upo hata nyerere aliweka wa asia na waarabu serikalini ..lakini sasa makaburu kama wewe...muko wengi...
wazanzibar walipo hapa tanganyika ni wakimbizi kwa taarifa yako hawana haki hata ya kununua nyumba au kiwanja kama wewe...kwani huwezi kununua nyumba ama kiwanja zanzibar bila ya kitambulisho chao..na serikali ya CCM ZA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WAMEFANYA MAKUSUDI KUINYIMA ZANZIBAR ..YAANI KUWAZUIA WALE WALIPO HAPA WASI INVEST KWAO...
WAJENGE HAPA TU ....NI SIASA ILIYO RIDHIWA NA SERIKALI ZOTE MBILI ZA CCM ...JEE WEWE UKIENDA ZANZIBAR KUISHI NA UKAFUNGUA HOTEL YA KITALIII FAIDA YAKO HUWEZI KUIPEKLEKA MOSHI AMA MBEYA KUJENGA ? HAO HAO CCM WANAKURUHUSU LAKINI SIO KWA WAZANZIBAR..WAO WAKIWA HAPA HAWANA SHERIA KUJENGA KWAO KWANI HAWANA VITAMBULISHO VYA UZANZIBARI AMBAVO WANANYIMWA

HIVYO JIBU NI KWAMBA TANGANYIKA INAOKALIA ZANZIBATR AKAMA KOLONI...KUNA MBINYO KILA MAHALAI....ACHANA NA YALE YA UAMSHO...

unasubiria majibu? Ni maoni yako ndugu yangu. Punguza jazba. Hopeful we si miongoni wa wana Jumiki
 
Back
Top Bottom