Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 316
'MUUNGANO FEKI USHATUCHOSHA WAZANZIBARI
HATUUTAKI'
Hiyo ni link kwenye u tube inayoashiria ni kiasi gani vuguvugu la wazanzibari kuitaka Zanzibar yao lilivyo juu. Just type hayo maandishi kwenye youtube.
Viongozi wa kitaifa hawawezi kuwa wawazi juu ya kile wananchi wao wanachokiamini. Kauli ya wananchi ni kauli ya viongozi, sema katika uongozi wa kisiasa ukweli huwekwa kando hadi pale utakapopata ufa wenyewe na kuamua kuvujia nje. Tusijidanganye kuwa hakuna tatizo.
Unamaaana hii hapa
Nimependa hapo kwenye Tang'ng' ng'ng'nnnnnnnnnn!
Last edited by a moderator: