VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
Kijana kwanza marahaba, habari ya kigamboni?!!
Baada ya salamu naomba kuchanachana bandiko lako vipande vipande , wakati tuandelea kwenye main post yako tunaomba weka tafsiri ya mabadiliko ili wote tuwe pape moja
Naomba tafsiri yako ya mageuzi, japo nitaendelea na mada
Kubadilika kufanya nini ? kivipi kiuchumi au kisiasa? na kama kubadilika unalenga kisiasa, je una maana kuwa upinzani ndio mabadiliko yenyewe au hata ukiwa chama kama ccm lakini ukasimama imara nayo ni mabadiliko?
again ili ni suala la nchi na nchi, kuna watu wanaishi nje lakini awajui hata balozi za Tanzania ziko wapi maana ni option kwenda ubalozi, unapokuwa nje ya nchi balozi ana msaada mdogo sana huo ndio ukweli, hakuna influence ya kisiasa na kama ipo ni chini sana [ again nchi na nchi]
MWISHO:
Ni ngumu sana kupata hitimisho moja juu ya mitazamo ya watanzania wote waliopo nje ya nchi bila kuwachambua kulingana na maeneo wanayoishi [nchi na nchi], hata kwa Tanzania hapo ni ngumu pia, mfano Arusha CDM wako juu kisiasa, lakini ukienda DSM sio kama ilivyo kwa Arusha, sio kama DODOMA, na SIO KWAMA RUVUMA na Sio kama Zanzibar.
Mkuu naona unajaribu kubaka fikra za hao watanzania au unawasukuma wawe sympathetic kwamba wanachelesha badiliko/mageuzi bila kuyasema ni mabadiliko/mageuzi gani?
Baada ya salamu naomba kuchanachana bandiko lako vipande vipande , wakati tuandelea kwenye main post yako tunaomba weka tafsiri ya mabadiliko ili wote tuwe pape moja
@Yericko Nyerere Nikiwa miongoni mwa Watanzania waumini wa mageuzi, nimekuwa nikistaajabu kuwaona "baadhi" ya Watanzania wenzetu waishio nje ya Tanzania wakisita sana kuyapokea mageuzi tunayoyahitaji kwa udi na umvumba Watanzania sisi hasa hiki kizazi cha tatu!
Huu ni mtazamo wangu, na ninaweza kutofautia na wengi katika hili, lakini kutofautia kwa hoja katika jambo lolote linalokusanya malenga wa wili ni turufu muhimu kwao.
Yapo mambo mengi ambayo mimi nimeyaona ni sehemu ya sababu za Watanzania hawa kuwa nyuma katika matakwa ya kimageuzi,
Naomba tafsiri yako ya mageuzi, japo nitaendelea na mada
Kwanza kabisa Watanzania tukubali kuwa silika nikikwazo kikubwa cha mwanadamu kubadilika, na wenzetu hawa bado silika imewaandama vya kutosha!
Kubadilika kufanya nini ? kivipi kiuchumi au kisiasa? na kama kubadilika unalenga kisiasa, je una maana kuwa upinzani ndio mabadiliko yenyewe au hata ukiwa chama kama ccm lakini ukasimama imara nayo ni mabadiliko?
Hii ni issue ya mtu na mtu, kuna kipindi kulikuwa na tuhuma kwamba watanzania wakisoma wanakimbia vijiji walivyotoka mpaka utambilisho wao wanageuzi, ukimuuliza mtu kwenu wapi anakuambia Dar kumbi katokeoa Nyakato au mjinikuti.Pili Watanzania hawa wanaathiriwa na ubora mimi, hii ni tabia iliyojijenga kwa kizazi cha kiafrika na hususani Tanzania watu kudharauliana, mtu akifika Ulaya basi yeye sasa anajua kila kitu na hawezi jifunza chochote kwa mie Mnyalukolo aliyeniacha Nyololo,
toa ushiwishi zaidi kwenye ili, umefikiaje kwenye hiyo hitimishoHivyo hata hizi harakati za mageuzi tunazoziendesha hapa Tanzania kuna Watanzania wengingine huko Ughaibuni wanatuona ni wapuuzi tu liliokosa darasa na mwangaza,
Short and clear sio KWELI, watu wengi walioko nje hasa kwa sasa, ni private funded yaweza kuwa familia, mashirika, NGOs etc etc lakini waliochini ya ughamini wa serikali ni kama hakuna kabisa, labda useme ni nchi gani ili twenda kwa data za ndani zaidi, yawezekana source yako aishabihiani na ukweli.Tatu, Watanzania wengi asili ya uwepo wao nje ya nchi upo mikononi mwa serikali na chama tawala, hivyo mahubiri ya mageuzi yoyote kwao ni kelele tu,
Tano, Balozi zetu huko duniani zinaendesha shughuli zao kwa asili ileile ya mfumo wa chama kimoja, hili linahitaji mageuzi makubwa ili balozi zetu zikubali kukabiliana na fikra mpya za vijana wetu huko waliko!
Hayo ni machache ambayo mimi nimeyaona nisababu za msingi,