kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,635
I wonder especially mambo yanayoendelea Dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa wengi ni wanawake.
Unakuta mwanamke unahangaika kwenye ujasiriamali wako au kwenye ajira yako pesa yote unampa nabii ili akufunulie mambo yako. Enyi wanawake nani amewaroga? We kila jambo unalokutana nalo eti ngoja nimuulize nabii.
Wengi manabii mnaowamini ni waongo sana. Wengi wanabad behaviour na si watumishi wa Mungu. Enyi akina dada acheni kutapeliwa, rudini kwenye imani zenu za awali mdumu katika sala God atawasaidia sana.
Achaneni na manabii ni waongo na wezi, wao kazi yao nikuwahimiza mtoe pesa.