sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Kweli kabisa, hii inatokana na shida na misukosuko ya kimaisha na uvivu wa kufikiri.
Kuna wanawake wengi waanaamini kuwa mybe umasikini wao, au kukosa mtoto au mume ni kutokana na kurogwa, nyota mbaya n.k huku wakiamini solution yao ni kwenda kwa hawa watu.
Sio vibaya kwenda, ila kule kuwategemea 100% na paka kuweza kurubuniwa nao au hata kushawishiwa kufanya mambo mabaya.
Wengi pia huamua kwenda kwa waganga.
Hii nadhani pia inachangiwa na psychologiacl necha ya wanawake kupenda simple way, au slope kusucced katika mambo yao.
Wanawake jiamininin, hangaiken kutafuta maisha, jiwekeni katika tabia ambazo zitawafanya muolewe, achen kufanya mambo ambayo yanawasababishia msipate watoto.
Wanaume pia sometime tunakuwa chanzo cha mahangaiko ya wanawake, please tuache kuwanyanyasa, kuwadhurumu haki zao hususan kwenye biashara.
Wanawake, dumuni kwenye imani zenu origin. Hapo hapo mlipo mnaeza funguliwa na vifungo mlivyo navyo kama mkisali na kuomba kwa moyo mmoja.