Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,770
- 22,720
siku hizi wanaume wanapekua handbag zetu, sijui hiki kizazi kina nini
- ​Wanaonyesha ushirikiano. Yeye anapekuliwa naye anapekuwa
siku hizi wanaume wanapekua handbag zetu, sijui hiki kizazi kina nini
Huyo dawa yake awe anakutana na condom daily in my pockets mbna atakoma mwenyewe
- ​Wanaonyesha ushirikiano. Yeye anapekuliwa naye anapekuwa
basi wasilalamike si ni ngoma droo
Tutawakagua sana tuu! Hamuchelewi kutujia na marisiti ya mahotelini!!!
Kweli kabisa! Kwa nini umkague mwenzio? Huu ni udhaifu mkubwa kabisa kwa wanaoishi katika maisha ya ndoa!
Bobu junior kapekuliwa kakutwa na BIKINI LIVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!! Afu USED. Afu mwataka tusiwapekue! Thubutuuuuuuuuuuuuu! Mke kibasmat cha pemba wacha kiishie kwao kwenye visiwa vya karafuuu! Chezeya mauno ya Bobu nyie!
kubwa la maadui!!!! nakuweka rasmi kwenye kitengo cha kupekua PM zangu! believe it or not, you wont get any pm from Madame B, no goodmorning from miss strong, Heaven on Earth or Fixed Point .... for sure nakuahidi kuwa mume mwema! teh teh!
pheeeeeeeeeeeeeeew nilidhani kupekuana simu,.....kkumbe wallet....anaipekulia nini unless uwe humpi matumizi....(ila wengine wana katabia tu ka kudukua)
eh...kumbe ndivyo wanyavyo?
- Au zile za kwenye kaboksi imebaki moja,wakati huwa ziko tatu, imehifadhiwa kiufundi kwenye gari.
- Mbaya zaidi huwa wahusika hawazitumii, sasa hii moja imekuwaje tena?
Chonde chonde mkuu, edit maana najua hukumaanisha hvyo
ndo hapo sasa! Kwanini usikaguliwe? Nitakupekua hadi kwenye boxer kudadeki!!
Heaven on Earth sie hatukaguani bana, Kaizer anafahamu wajibu wakehahaaaaaaaaaaaaa DEMBA anakaguaga wallet yako