dawa ni kuwana kastrong room au kasecurity safe, ambapo utakuwa unaweka vitu vyako very personnal kama bastola, original documents mbalimbali, fedha zangu ambazo hazipo bank, kadi za benki, title deeds,
Yaani kwa sasa lazima kuhishi namna hii,
ukifa ndio itawabidi wakibomoe.
Kwangu mi ninacho nahifadhia silaha navitu vingine muhimu, kwa sasa sijaoa lakini hata nikioa mke wangu sitamtjia password za kukifungua. Ikitokea bahati mbaya amezifahamu nazibadilisha, au kiusalama zaidi unakuwa unabadili namba za siri kila baada ya muda fulani.
Chezea maisha ya kidijital, hkuna kuaminiana sana.
Nikimstukia ana mchezo wa kupekua wallet hata yenyewe nitakuwa nikifika tu home nairushia huko, nikitoka naichukua tena.
Umekaa zako sebuleni kumbe wife anapekua walett room, kwangu mi itakuwa ngumu sana.
Jinsi nilivyomsiri na vitu vyangu atakomaje mwenyewe.
Mfano wa hizo zana