Heee kumbe ulimaanisha ile ya upekuzi wa boxer!!!????
Heaven on Earth sie hatukaguani bana, Kaizer anafahamu wajibu wake
Umejuaje "gwa kokaja" kisugujira?Au shem huwa anafanya hivyo so uka conclude wote wanawake wapo sawa?
siku hizi hata wanaume nao wanapekua handbag zetu, sijui hiki kizazi kina nini
sio udhaifu ndugu kuna circumstances zinapelekea hayo sanasana kama wote mnafanya kazi mwanaume anajikausha hatoi hela na sisi ukishakuwa na kazi humsumbui kuomba unatoa ya kwako ktk matumizi sasa nae anajisahau unajikuta kila siku wewe baadae inakuzidia unaona kwanini hatoi inamaana hana hela? Ndipo unazama kupiga sech ktk wallet ukikuta anazo unapata hasira unauchuna nawe hutoi hata mia anaanza kuombwa mpaka hela ya mshumaa.
Ndio hivyo jaman
hahaaaaaaaaaaaaa DEMBA anakaguaga wallet yako
Hii inaweza kuwa ni sababu mojawapo! Je, inawezekana kuwa ni tabia ya mtu?
Wana MMU,
Ni kwa nini baadhi ya wanawake wana tabia ya kupekua pekua kwa siri Wallet au mifuko ya suruali ya waume zao wanapokuwa wamerudi toka kazini au safarini? Mara nyingi huutumia muda ambao waume zao wanapokuwa wamekwenda bafuni kuoga au wanapokuwa wamelala!
hahahaha! Mkuu kilugha chao hicho!!