Baadhi ya wanaume mnafurahisha sana


Nkwei kabisa aha uzantamia kwa kwei,ne tiivyo hata kati bado siingie na uko mia ukwei nee uo.🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Though lengo lako lawezekana ni jema always kumbuka kuzaa ni kupanga...coz no man anataka kufeli katika kuprovide mahitaj ya mtoto . that's why hatupend surprise kwenye masuala ya uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha [emoji28][emoji28]
hao sasa unaowaongelea ni wanaume wenye hulka za kike, mwanaume ukiambiwa mimba tayari unajikausha tu unaanza kuCalculate magazijuto kwa kichwa ujue unaanzia wapi,

hayo ya kulalama ni kujihami na dalili ya uoga..
 
[emoji3] [emoji3] wanaume mkuje mtueleze ni kwa nini hii taarifa hamuizoei ?? Nina shoga yangu juzi alimwamibia mumewe kua ana mimba mwanaume alifoka utazan kampa mwanafunzi mimba..

Mna nini lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] wanaume mkuje mtueleze ni kwa nini hii taarifa hamuizoei ?? Nina shoga yangu juzi alimwamibia mumewe kua ana mimba mwanaume alifoka utazan kampa mwanafunzi mimba..

Mna nini lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja alitamani sana mtoto mwingine. Wale wakubwa walikuwa wameshaanza shule. Mume hakutaka kabisa zile kero za kuamka usiku zirudi tena.

Mtoto alipozaliwa hata clinic alikwenda na mkewe.
 
Hahahah tusamehe bure, kwa niaba ya wenzangu tusamehe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…