Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta [emoji120][emoji120]
Nijibu SWALI langu
 
Nilishatoa malalamiko huku kwamba Kuna mtu aliniomba elfu thelathini na mwingine aliniomba elfu tisini eti kakwama mahali hadi vocha wengine elfu 20 so wapo Matapeli humu wengi tumezoea Mimi sio tajiri wajameni hali ni kawaida tu ukiona business whtsupp ni hakunaga kitu mtu karembesha tu anaomba Mungu amfanyie wepesi aipate sio anayo asingekuja huku kupoteza stress ikute mambo mabaya kiukweli kaja huku apunguze stress unampiga na kitu kizito
Halafu ukisema kweli, eti wa kutukana.

Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Kwani huko marekani hamuombani
Kama unataka mume si utafute wa huko huko wakuoe huku vyuma vimekaza hatuelewi
Kwanza mimi sitafuti anaeishi Tanzania

Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta [emoji120][emoji120]
Madam mimi najua njia ya kukulipa. Nije unikopeshe??[emoji846][emoji846]
 
"Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi” Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!"

.........
Ama kweli Mwafrika hapotezi asili.

Pamoja na kwamba umeishi London toka ukiwa mdogo lakini bado una hulka ya umimi.

Ninakushauri uachane na mpango wako wa kutafuta mume maana unathamini mali na pesa zako kuliko mume.

Ungekuwa na tabia njema hakika ungepata mume maeneo yako ya kazi.
Hapo tayari una helakwa hiyo huon unuhimu mume.
 
"Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi” Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!"

.........
Ama kweli Mwafrika hapotezi asili.

Pamoja na kwamba umeishi London toka ukiwa mdogo lakini bado una hulka ya umimi.

Ninakushauri uachane na mpango wako wa kutafuta mume maana unathamini mali na pesa zako kuliko mume.

Ungekuwa na tabia njema hakika ungepata mume maeneo yako ya kazi.
Hapo tayari una helakwa hiyo huon unuhimu mume.
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
"Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi” Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!"

.........
Ama kweli Mwafrika hapotezi asili.

Pamoja na kwamba umeishi London toka ukiwa mdogo lakini bado una hulka ya umimi.

Ninakushauri uachane na mpango wako wa kutafuta mume maana unathamini mali na pesa zako kuliko mume.

Ungekuwa na tabia njema hakika ungepata mume maeneo yako ya kazi.
Hapo tayari una helakwa hiyo huon unuhimu mume.

Na pengine angepata mapema tuu, ila naona kasema pia hata marafiki wa kiume hataki, sasa mume atapatikanaje bila bila ya kuwa hata na chemistry fulani!?hata mchepuko lazima uanze nae mazoea kama then ndio unarusha nyavu….i smell something wrong with her,…. Anyway kina Mbuta nanga wako wengi UK.
 
Kwanza hali zenu nyote na ni wazima pia,
najitahidi mnooo kuheshimu kila mtu lakini

huu mkasa ulionikuta siku chache tu baada ya kujiunga hapa nahisi bora
niulize kuwa siamini kabisa.

Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu, mbona naaza kuombwa pesa na mbaba mmoja.

Nauliza kama pia Mnawanaijiria humu kuwa bado siamni kabisa, au hii ni tabia
ya (baadhi) wa kina baba/kaka wa kitanzania, kuwaomba pesa kina mama/dada.

Labda kuwa maisha yamebadilika sasa saana huko nyumbani kwa hiyo (baadhi) ya kina baba/kaka sasa pia wanawaomba pesa kina mama/dada??

“Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi” Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!

Lakini sasa nimeanza kuogopa mnooo kwa kuanza kuombwa pesa hapa mtandaoni (kwa mtu ambae simjui kabisa mbali ya kuchat nae hapa jukwaani tu baada ya siku chache nilizomjua na nilipomuuliza kwanza utanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali hakuwa na jibu sahihi na niliposema sina sasa kapotea kabisa na sasa nasema hapa jukwaani kwa kutahatharisha wanawake wengine)
baada ya matusi yote niliyotukanwa na kuhukumiwa mnoooo na ( baadhi ya) kina kaka/baba, hata bila ya kufahamu nini nimewakosea.

Vile vile nashindwa kuelewa sasa kuwa
( baadhi ) ya kina baba/kaka humu wanasema kuwa kina dada/mama wanawafanyeni nyinyi chuma ulete.

Kwa hiyo sasa (baadhi yenu) nyinyi humu mnataka kutufanya sisi sasa kina mama/dada chuma ulete!! Au tuseme bibi kizee mimi tu labda kwa sasa. 🤣😂

Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu au hii ni tabia pia ya
(baadhi) wa kina kaka/baba wa kitanzania kuwachuna/kuwatapeli wanawake. 🙏🙏

Chengine jamani mimi siajiri watu kazi na wala sijui sheria za kazi huku niliko London. Mimi ninaukaazi wa huku na nafanya kazi zaidi ya hapo sijui sheria nyengine. Kama nilivyosema mimi nilikuja huku nikiwa mdogo kwa hiyo siwezi kumpa mtu yoyote ushauri kuhusu sheria za huku za kazi, vizuri mutizame nyinyi huko kwenye online au mmuajiri wakili akuelezeeni.
Nasema haya kuhusu sheria za kazi kuwa sitaki kusema kitu nisichokijua au kumpotosha mtu yoyote. 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️

Vile vile nimeona pia ( baadhi ) ya wa kina kaka/baba kutaka urafiki na mimi sasa, niwe muwazi na kusema la ukweli kabisa ili tusipotezeane muda hapa, hasa kuwa niko bizi mnooo na maisha yangu, mimi sio mtu wa marafiki na sina marafiki wa kiume.
🙄😳

Mimi niko hapa kutafuta mume tu na mwenye vigezo vyote, na kama hamna ni sawa pia hama shida hata kidogo, bali nitabaki kwa kusoma threads za watu wengine nitakapo kuwa na muda
ili kujifuza na kufahamu hali ya huko nyumbani sasa.🙏🙏
Mhhh bado hujampata mpaka leo.
 
Chairman..

makaveli10 umepita mtaa huu?
Nilipita kwa mbali nikaona kuna songombingo la kaboka mchizi linataka kunukia, nikahofia kuja hapa nina msuli ndani sina bukta, lisije likatokea jambo mambo yakawa ottu jazz 🎺 (mambo hadharani) Nikapitiliza kwenda kununua pampers za mjomba wako, nikiwa na imani mjumbe utanipa kilichojiri.
 
Hivi kweli dada yangu umewasahau wabongo!?

Mbongo ni mbongo tu hata awe wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mind your business, otherwise you'll be confused!

Ningekuoa ila duh uko mbali
 
Oky,kama Una elimu kubwa na pia Una pesa wewe ndiyo mkosefu ..
Nilipotukanwa na kuhukumiwa
ilikuwa powa kabisa, na sasa
naombwa pesa nikae kimpya.

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki mnooo, na sasa nazidi kuwafahamuni.
 
Hivi kweli dada yangu umewasahau wabongo!?

Mbongo ni mbongo tu hata awe wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mind your business, otherwise you'll be confused!

Ningekuoa ila duh uko mbali
Nilipotukanwa na kuhukumiwa
ilikuwa powa kabisa, na sasa
naombwa pesa nikae kimpya.

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki mnooo, na sasa nazidi kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom