Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Ulitakiwa kwanza kuficha shughuli yako yaani ungesema huna kazi yoyote ,hii ingekusadia kumpata mtu sahihi zaidi na mwenye malengo ya kweli.
 
kuombwa pesa mtandaoni!!! pole sana hali maisha hapa bongo ni ngumu mnooooo
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Kwaiyo ngoma Ni 50/50
emoji38.png
Kinachokushangaza nini? Ukitapeliwa na mwanaume deislam utaanza kulaumu wanaume wa deislam au utaelewa hapa ni mjini uendelee na mambo yako?
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Mzenji hata ukubali kufa kwa ajili yake bado atalalamika mie wala sjapenda yahee kafa kwaajili yangu ili akanidhulum nafas yangu ya pepon
 
Kwaiyo ngoma Ni 50/50[emoji38]

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta [emoji120][emoji120]
Pole Sana dada,
Ndio changamoto za kutafuta wachumba mitandaoni.Hata matapeli wamo humu
 
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
Kula hela ya mwanamke ni ngumu sana asikwambie mtu
 
Mrembo kapigwa vizinga na akina baba wa jf kamaindi, ndo wajue hata sisi wanapotupiga vizinga vinatuuma ila ndo hivyo lengo tupate utelezi tu 🤣🤣🤣

Back
Top Bottom