Unataka uolewe na mimi? We bwege wa
Au sio mkuu basi sawa hiyo professional help inapatikana wapi? Please kindly help meS/he is suffering from a severe case of narcissistic personality disorder. She craves constant attention in order to feel important and worthy. Likely a victim of serious childhood trauma (e.g. molestation and/or abandonment). S/he needs professional help.
One of the feature of that disorder is lack of empathy and other is lack of boundaries haujakosea it is me for sureS/he is suffering from a severe case of narcissistic personality disorder. She craves constant attention in order to feel important and worthy. Likely a victim of serious childhood trauma (e.g. molestation and/or abandonment). S/he needs professional help.
Hapa ndani Kuna wanaume 50 wengine wote ni kina Juma LokoleKwanza hali zenu nyote na ni wazima pia,
najitahidi mnooo kuheshimu kila mtu lakini
huu mkasa ulionikuta siku chache tu baada ya kujiunga hapa nahisi bora
niulize kuwa siamini kabisa.
Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu, mbona naaza kuombwa pesa na mbaba mmoja.
Nauliza kama pia Mnawanaijiria humu kuwa bado siamni kabisa, au hii ni tabia
ya (baadhi) wa kina baba/kaka wa kitanzania, kuwaomba pesa kina mama/dada.
Labda kuwa maisha yamebadilika sasa saana huko nyumbani kwa hiyo (baadhi) ya kina baba/kaka sasa pia wanawaomba pesa kina mama/dada??
Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi. Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!
Lakini sasa nimeanza kuogopa mnooo kwa kuanza kuombwa pesa hapa mtandaoni (kwa mtu ambae simjui kabisa mbali ya kuchat nae hapa jukwaani tu baada ya siku chache nilizomjua na nilipomuuliza kwanza utanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali hakuwa na jibu sahihi na niliposema sina sasa kapotea kabisa na sasa nasema hapa jukwaani kwa kutahatharisha wanawake wengine)
baada ya matusi yote niliyotukanwa na kuhukumiwa mnoooo na ( baadhi ya) kina kaka/baba, hata bila ya kufahamu nini nimewakosea.
Vile vile nashindwa kuelewa sasa kuwa
( baadhi ) ya kina baba/kaka humu wanasema kuwa kina dada/mama wanawafanyeni nyinyi chuma ulete.
Kwa hiyo sasa (baadhi yenu) nyinyi humu mnataka kutufanya sisi sasa kina mama/dada chuma ulete!! Au tuseme bibi kizee mimi tu labda kwa sasa. 🤣😂
Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu au hii ni tabia pia ya
(baadhi) wa kina kaka/baba wa kitanzania kuwachuna/kuwatapeli wanawake. 🙏🙏
Chengine jamani mimi siajiri watu kazi na wala sijui sheria za kazi huku niliko London. Mimi ninaukaazi wa huku na nafanya kazi zaidi ya hapo sijui sheria nyengine. Kama nilivyosema mimi nilikuja huku nikiwa mdogo kwa hiyo siwezi kumpa mtu yoyote ushauri kuhusu sheria za huku za kazi, vizuri mutizame nyinyi huko kwenye online au mmuajiri wakili akuelezeeni.
Nasema haya kuhusu sheria za kazi kuwa sitaki kusema kitu nisichokijua au kumpotosha mtu yoyote. 🤦🏽♀️🤦🏽♀️
Vile vile nimeona pia ( baadhi ) ya wa kina kaka/baba kutaka urafiki na mimi sasa, niwe muwazi na kusema la ukweli kabisa ili tusipotezeane muda hapa, hasa kuwa niko bizi mnooo na maisha yangu, mimi sio mtu wa marafiki na sina marafiki wa kiume.
🙄😳
Mimi niko hapa kutafuta mume tu na mwenye vigezo vyote, na kama hamna ni sawa pia hama shida hata kidogo, bali nitabaki kwa kusoma threads za watu wengine nitakapo kuwa na muda
ili kujifuza na kufahamu hali ya huko nyumbani sasa.🙏🙏
Ni kweli Hawaoi wameshaoahata hii stori ni ya kufurahisha tu hakuna uhalisia wowote ni uongo
Urafiki unaanza kabla ya uchumba, wakubalie tu urafiki hao watu lbd ndo utafanikiwa kupata mwenz wako wa maishaKwanza hali zenu nyote na ni wazima pia,
najitahidi mnooo kuheshimu kila mtu lakini
huu mkasa ulionikuta siku chache tu baada ya kujiunga hapa nahisi bora
niulize kuwa siamini kabisa.
Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu, mbona naaza kuombwa pesa na mbaba mmoja.
Nauliza kama pia Mnawanaijiria humu kuwa bado siamni kabisa, au hii ni tabia
ya (baadhi) wa kina baba/kaka wa kitanzania, kuwaomba pesa kina mama/dada.
Labda kuwa maisha yamebadilika sasa saana huko nyumbani kwa hiyo (baadhi) ya kina baba/kaka sasa pia wanawaomba pesa kina mama/dada??
Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi. Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!
Lakini sasa nimeanza kuogopa mnooo kwa kuanza kuombwa pesa hapa mtandaoni (kwa mtu ambae simjui kabisa mbali ya kuchat nae hapa jukwaani tu baada ya siku chache nilizomjua na nilipomuuliza kwanza utanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali hakuwa na jibu sahihi na niliposema sina sasa kapotea kabisa na sasa nasema hapa jukwaani kwa kutahatharisha wanawake wengine)
baada ya matusi yote niliyotukanwa na kuhukumiwa mnoooo na ( baadhi ya) kina kaka/baba, hata bila ya kufahamu nini nimewakosea.
Vile vile nashindwa kuelewa sasa kuwa
( baadhi ) ya kina baba/kaka humu wanasema kuwa kina dada/mama wanawafanyeni nyinyi chuma ulete.
Kwa hiyo sasa (baadhi yenu) nyinyi humu mnataka kutufanya sisi sasa kina mama/dada chuma ulete!! Au tuseme bibi kizee mimi tu labda kwa sasa. [emoji1787][emoji23]
Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu au hii ni tabia pia ya
(baadhi) wa kina kaka/baba wa kitanzania kuwachuna/kuwatapeli wanawake. [emoji120][emoji120]
Chengine jamani mimi siajiri watu kazi na wala sijui sheria za kazi huku niliko London. Mimi ninaukaazi wa huku na nafanya kazi zaidi ya hapo sijui sheria nyengine. Kama nilivyosema mimi nilikuja huku nikiwa mdogo kwa hiyo siwezi kumpa mtu yoyote ushauri kuhusu sheria za huku za kazi, vizuri mutizame nyinyi huko kwenye online au mmuajiri wakili akuelezeeni.
Nasema haya kuhusu sheria za kazi kuwa sitaki kusema kitu nisichokijua au kumpotosha mtu yoyote. [emoji2362][emoji2362]
Vile vile nimeona pia ( baadhi ) ya wa kina kaka/baba kutaka urafiki na mimi sasa, niwe muwazi na kusema la ukweli kabisa ili tusipotezeane muda hapa, hasa kuwa niko bizi mnooo na maisha yangu, mimi sio mtu wa marafiki na sina marafiki wa kiume.
[emoji849][emoji15]
Mimi niko hapa kutafuta mume tu na mwenye vigezo vyote, na kama hamna ni sawa pia hama shida hata kidogo, bali nitabaki kwa kusoma threads za watu wengine nitakapo kuwa na muda
ili kujifuza na kufahamu hali ya huko nyumbani sasa.[emoji120][emoji120]
mkuu ulsema umenda london kufanya kaz au umeenda ukiwa mdgo au ukiw mdgo uliendea kaz gan [emoji55][emoji55]Kwanza hali zenu nyote na ni wazima pia,

Na wewe ni mtumwa tu unaekataa kwenu na rangi yako na sasa umekuwa mchina. 🙏🙏
Chengine acha uwongo kama unasema mimi ni mtu mwenye ID zote hizo.
Kama wewe 🙏🙏
Marhaba. 🙏🙏Shikamoo shemeji Zanzibar2014
Towa zako. 🙏🙏Toa pesa acha mbambamba
Kama wewe. 🙏🙏He/she sounds desperate.
Kama wewe. 🙏🙏S/he is suffering from a severe case of narcissistic personality disorder. She craves constant attention in order to feel important and worthy. Likely a victim of serious childhood trauma (e.g. molestation and/or abandonment). S/he needs professional help.
Watajila wenyewe. 🙏🙏Sasa wewe utafute mwanaume JF kweli? Utaliwa kisha utupwe kama mfupa
Daah umesema kitu. 🙏🙏Hongera sana kwa kuwa mkweli.
Jipe muda kwanza uwe unasoma posts za humu ili uweze kuwaelewa wanaume wa humu. Utakuta kila mmoja
- Ni tajjri
- Anajua kupenda
- Anajua kuishi na mke
- Anajua kubembeleza mwanamke
- Ana kazi.....
Soma kwa makini kisha waza the opposite. Wanaume tumebaki wachache. Wengi humu wanalelewa na wanatafuta kulelewa