Nani kachezea usichana hapa na nani mwenye tunu ya mume. Tatizo muna midomo mirefu mnooo, hii ndio shida yenu. 🙏🙏Zanzibar2014 baada ya kuchezea usichana wako in your 20s, sasa umezeeka unatafuta bwege... Nunua paka au mmbwa akupe kampani. Ushabugi. Itikadi za kifemnist +uzungu mwingi vinakucost.
Nakuja na mada hii karibuni baada kupata majibu zaidi. 🙏🙏Kwa maslahi mapana ya JF screen short pm za aliye kuomba hela ili tumjue huyo dume ombaomba
Big up sana ujue humu jukwaani kuna matapeli sanaNakuja na mada hii karibuni baada kupata majibu zaidi. 🙏🙏
Halafu chengine usibabaishe mada na ushahidi ninao ninaotowa hivi karibuni.S/he is suffering from a severe case of narcissistic personality disorder. She craves constant attention in order to feel important and worthy. Likely a victim of serious childhood trauma (e.g. molestation and/or abandonment). S/he needs professional help.
🙏🙏Big up sana ujue humu jukwaani kuna matapeli sana
Ukizimwaga pm zao zote unitag kbs shangazi
Hamutaki ukweli nakuja na proof hivi karibuni. 🙏🙏
Pole sanaSijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.
Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.
Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.
Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta [emoji120][emoji120]
Hivi huko ndiyo umekosa wanaume kabisa, Mpaka utafute humu mtandaoniNimeziona [emoji120][emoji120]
Unasemaje ?Chengine acha uwongo kama unasema mimi ni mtu mwenye ID zote hizo.
Na kama unaakili timamu, kwanza anza kwa kuwa mkeweli. 🙏🙏