Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Baadhi ya wanaume humu ni wanafiki sana

Huyo mhusika alikuomba fedha au aliomba umuazime/kopeshe fedha?

Lakini muhusika kama ametoa ombi unaruhusiwa kukubali au kukataa na sioni haha ya kulalamika.

Angekua kakutapeli labda sawa lakini kuombwa fedha mbona tunaombwa sana na watu tusiowajua hata na kama mtu unao uwezo unasaidia haipunguzi chochote.

Mtu kupatwa na changamoto za kimaisha haijalishi jinsia yake.
 
Nilijua umeleta mrejesho kuwa umepata mwenza anyways siku hizi wanaume na wao wapo makini kuangalia sehemu watakayopata urahisi wa maisha, wanaogopa wanyonya damu wanaoomba Hadi hela ya Pedi.
 
Kwanza hali zenu nyote na ni wazima pia,
najitahidi mnooo kuheshimu kila mtu lakini

huu mkasa ulionikuta siku chache tu baada ya kujiunga hapa nahisi bora
niulize kuwa siamini kabisa.

Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu, mbona naaza kuombwa pesa na mbaba mmoja.

Nauliza kama pia Mnawanaijiria humu kuwa bado siamni kabisa, au hii ni tabia
ya (baadhi) wa kina baba/kaka wa kitanzania, kuwaomba pesa kina mama/dada.

Labda kuwa maisha yamebadilika sasa saana huko nyumbani kwa hiyo (baadhi) ya kina baba/kaka sasa pia wanawaomba pesa kina mama/dada??

“Mimi nilisema nafanya kazi kwa hiyo nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi” Hii namaanisha kuwa sitegemei pesa za mume wangu mtarajiwa kuwa nina zangu, kwa hiyo na yeye pia awe anafanya kazi/biashara ili tusaidiane maisha kwa pamoja ili pia asitegemee pesa zangu mimi tu!!

Lakini sasa nimeanza kuogopa mnooo kwa kuanza kuombwa pesa hapa mtandaoni (kwa mtu ambae simjui kabisa mbali ya kuchat nae hapa jukwaani tu baada ya siku chache nilizomjua na nilipomuuliza kwanza utanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali hakuwa na jibu sahihi na niliposema sina sasa kapotea kabisa na sasa nasema hapa jukwaani kwa kutahatharisha wanawake wengine)
baada ya matusi yote niliyotukanwa na kuhukumiwa mnoooo na ( baadhi ya) kina kaka/baba, hata bila ya kufahamu nini nimewakosea.

Vile vile nashindwa kuelewa sasa kuwa
( baadhi ) ya kina baba/kaka humu wanasema kuwa kina dada/mama wanawafanyeni nyinyi chuma ulete.

Kwa hiyo sasa (baadhi yenu) nyinyi humu mnataka kutufanya sisi sasa kina mama/dada chuma ulete!! Au tuseme bibi kizee mimi tu labda kwa sasa. [emoji1787][emoji23]

Naombeni mnijuze kama pia mna Wanaijiria humu au hii ni tabia pia ya
(baadhi) wa kina kaka/baba wa kitanzania kuwachuna/kuwatapeli wanawake. [emoji120][emoji120]

Chengine jamani mimi siajiri watu kazi na wala sijui sheria za kazi huku niliko London. Mimi ninaukaazi wa huku na nafanya kazi zaidi ya hapo sijui sheria nyengine. Kama nilivyosema mimi nilikuja huku nikiwa mdogo kwa hiyo siwezi kumpa mtu yoyote ushauri kuhusu sheria za huku za kazi, vizuri mutizame nyinyi huko kwenye online au mmuajiri wakili akuelezeeni.
Nasema haya kuhusu sheria za kazi kuwa sitaki kusema kitu nisichokijua au kumpotosha mtu yoyote. [emoji2362][emoji2362]

Vile vile nimeona pia ( baadhi ) ya wa kina kaka/baba kutaka urafiki na mimi sasa, niwe muwazi na kusema la ukweli kabisa ili tusipotezeane muda hapa, hasa kuwa niko bizi mnooo na maisha yangu, mimi sio mtu wa marafiki na sina marafiki wa kiume.
[emoji849][emoji15]

Mimi niko hapa kutafuta mume tu na mwenye vigezo vyote, na kama hamna ni sawa pia hama shida hata kidogo, bali nitabaki kwa kusoma threads za watu wengine nitakapo kuwa na muda
ili kujifuza na kufahamu hali ya huko nyumbani sasa.[emoji120][emoji120]
Hivi hauna shughuli ya kufanya???
 
Nilijua umeleta mrejesho kuwa umepata mwenza anyways siku hizi wanaume na wao wapo makini kuangalia sehemu watakayopata urahisi wa maisha, wanaogopa wanyonya damu wanaoomba Hadi hela ya Pedi.
Sijapata bado.

Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Huyo mhusika alikuomba fedha au aliomba umuazime/kopeshe fedha?

Lakini muhusika kama ametoa ombi unaruhusiwa kukubali au kukataa na sioni haha ya kulalamika.

Angekua kakutapeli labda sawa lakini kuombwa fedha mbona tunaombwa sana na watu tusiowajua hata na kama mtu unao uwezo unasaidia haipunguzi chochote.

Mtu kupatwa na changamoto za kimaisha haijalishi jinsia yake.
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Picha linaendelea, season ni ile ile ya kwanza sasa ni episode ya 3...

EP01. Kutafuta bwana
EP02. Kuomba msamaha
EP03. Kichambo kwa 'wanaijiria'
...
...
...
Asanteni sana
Haya umesema wewe 🙏🙏
 
Kama wewe uko bizi, hapa unafanya nini ??
Wewe utakuwa ni jobless pia tapeli unayejifanya unatafuta mchumba lakini Lengo lako ni kuwatapeli watu..

Acha mara moja ulaghai na utapeli mtandaoni la sivyo nitakuchukulia hatua za kisheria wewe na matapeli wenzako wote
 
Huyo mtu mliwasiliana Kwa miezi mingapi?
Sijakataa kumsaidia lakini nilipo muuliza atanilipaje kuwa tuko nchi mbali mbali,
hakuwa na jibu sahihi ndio hapa nikawa na hofu.

Chengine mimi simjui kabisa, kaniomba pesa siku ya pili baada ya kuchat nae.
Isitoshe nilipomwambia sina, kapotea kabisa.

Ndio sasa nasema kwa kutahadharisha wengine kama hizi tabia wanafanyiwa wanawake wengine pia.

Vile vile mimi sio mtu wa kuhukumu au kutukana mtu bali mimi nilitukanwa na kuhukumiwa mnoooo kisa vigezo vyangu kwa mtu ninae tafuta 🙏🙏
 
Wewe utakuwa ni jobless pia tapeli unayejifanya unatafuta mchumba lakini Lengo lako ni kuwatapeli watu..

Acha mara moja ulaghai na utapeli mtandaoni la sivyo nitakuchukulia hatua za kisheria wewe na matapeli wenzako wote
Kama wewe na hatua jisaidie mwenyewe.
 
Nilishatoa malalamiko huku kwamba Kuna mtu aliniomba elfu thelathini na mwingine aliniomba elfu tisini eti kakwama mahali hadi vocha wengine elfu 20 so wapo Matapeli humu wengi tumezoea Mimi sio tajiri wajameni hali ni kawaida tu ukiona business whtsupp ni hakunaga kitu mtu karembesha tu anaomba Mungu amfanyie wepesi aipate sio anayo asingekuja huku kupoteza stress ikute mambo mabaya kiukweli kaja huku apunguze stress unampiga na kitu kizito
 
Back
Top Bottom