Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

CCM ni sawana Marekani...wanakusogeza uwe rafiki yao wakishajua udhaifu wako wanautumia kukumaliza...
 
Njama zenu CCM tumeshawabaini, hivyolete kwanza hoja za kina Sendeka na Ruth Msafiri tuyajadili hapa. Haiwezekani urejister na ID mpya kwa ajili ya Zitto. Ladha gani ya CDM unayoijua wewe?na toka lini wewe umekuwa mwana-CHADEMA na mzalendo? Nenda zako wewe gamba na ukome kuleta propaganda zenu mnazopewa na Nape hapa, kwani tayari tumewabaini.
Kwa taarifa yako mm ni Chadema Damu lakini huyu zitto kazidi mara anajitangazia Urais kero kibao huyo ni kimeo kama hamjui ni swaiba wa karibu sana na JK kama mjuavyo Udhaifu wa JK atamwambukiza zitto na baadae kuharibu chama
 
Mm naomba nimtete zito hajapewa chochote na huo ni uzushi wa ccm ili ionekane kwamba hata cdm wanachukua rushwa kama nikweri nani alimpa hiyo rushwa nakwanini alie toa na alie poke kwanini hawakamatwi? hivyo lazima tujaribu kufikia kazi ya usalama wataifa ni kwa urimboka tuu! Uzushi wa ccm na wabuge pamoja na dhaifu wao.

Mkuu unaweza ukawa uko sahihi tena sana, lakini kwa tabia zake za kinafikinafiki tutaaminije???
Pili, Mbona kawa kimya kukanusha hizi habari???
Mbona ile ya habari ya Nasssari na Mdee kwenda gazeti la mwananchi kawahi kuiongelea wakati waliandikiwa mwananchi communication?
?
 
Naona umeishiwa hija, kakojoe ulale sasa. Sisi tunaendelea na mada ya leo
Sijui kuishiwa hijja ndio nini ila nimegundua kuwa una agenda moja tu kumtetea zito tena bila hoja.Unatumia neno sisi mko wangapi?? hefu fuatilia nyuzi zote humu zinazomzungumzia Zitto halafu ujionee aibu...au ni kampuni ya mama mhando alokuwa akisupply stationary za TANESCO na sas kimenuka?? Pole tafuta udeiwaka kwenye dala dala zitto mlomtuma kakuta waana wa nchi tupo macho.
 
Kwa taarifa yako mm ni Chadema Damu lakini huyu zitto kazidi mara anajitangazia Urais kero kibao huyo ni kimeo kama hamjui ni swaiba wa karibu sana na JK kama mjuavyo Udhaifu wa JK atamwambukiza zitto na baadae kuharibu chama

CHADEMA DAMU ndiyo mboga gani? nenda kajipange wewe gamba, kwani ujanja wenu tumehaujua. Na nenda kamwambie Nape kwamba tayari tumegundulika na pumba zetu; labda atawapa kazi nyingine.
 
Zitto amevutwa karibu na mkulu na akina Januari Makamba, Mjue Makamba ndio aliyefanikisha ndoa ya kianfiki kATI YA ccm na CUF huko Zanzibar.Sasa ngoja yatokee puani hadi aliyoyapata alipoteuliwa kwenye kamati ile.Tuliongea humu tukasutwa sasa ukweli huooo.
 
Zitto sidhani mkama anatatizo kiasi hicho kwani tusipoangaika naye sidhani kama anamadhara yoyote bado ipo nafasi ya kumtumia zitto kwenye mambo mazuri na kwa haya mabaya tunamuda wa kumshauri ila umma unapata mafasi ya kumjua vizuri upande wake wa pili hivyo tumshukuru mungu kwa kuendelea kumjua ZZK .
 
Sijui kuishiwa hijja ndio nini ila nimegundua kuwa una agenda moja tu kumtetea zito tena bila hoja.Unatumia neno sisi mko wangapi?? hefu fuatilia nyuzi zote humu zinazomzungumzia Zitto halafu ujionee aibu...au ni kampuni ya mama mhando alokuwa akisupply stationary za TANESCO na sas kimenuka?? Pole tafuta udeiwaka kwenye dala dala zitto mlomtuma kakuta waana wa nchi tupo macho.
Kumbe wewe unajenga opinion yako kufatana na idadi ya watu wanao changia in a way or another? mi najenga opinion yangu kwa kusoma fact na kuziweka in context.

Context hapa ni kwamba kuna chama chenye nguvu kinakuja kupindua landscape nzima ya siasa ya Tanzania. Ndani ya chama hicho kuna kijana mwenye vipaji na support toka ndani na nje ya nchi, kijanamwenye ambition na means to achieve his vision for Tanzania. Context inaonesha kua kuna chama tawala ambacho hakina support, kimejaa mafisadi lukuki na wenyewe kwa wenyewe wameanza kugeukana na kujenga vikundi mbali mbali.

In that context, naona rumors toka kwa hao hao magamba (ambao wanatudanganya kila siku kua maisha yatakua bora) kwamba huyu kijana wa upinzani ni fisadi na anatembea na mafisadi wa chama tawala. The minimum I can do is to question these allegations and require for facts because this looks too good for the mesenger of this news for me to swallow it in one piece.

Ninacho fanya ni kuomba ushahidi wa hizo allegation, nikiupata nitaomba pia huyo kijana ajitetee na baada ya hapo ndio nitajua ukweli uko wapi.
Mtu wowote mwenye minimum ya busara lazima aombe ushahidi. asipo fanya hivo either he is part of the propaganda machine, or he is so dumb that he deserves to be a waiter in CCM, not more.
Tena tafadhali usije na ID yako ya Precise pangolin kuniuliza haya haya!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe unajenga opinion yako kufatana na idadi ya watu wanao changia in a way or another? mi najenga opinion yangu kwa kusoma fact na kuziweka in context. Context hapa ni kwamba kuna chama chenye nguvu kinakuja kupindua landscape nzima ya siasa ya Tanzania. Ndani ya chama hicho kuna kijana mwenye vipaji na support toka ndani na nje ya nchi, kijanamwenye ambition na means to achieve his vision for Tanzania. Context inaonesha kua kuna chama tawala ambacho hakina support, kimejaa mafisadi lukuki na wenyewe kwa wenyewe wameanza kugeukana na kujenga vikundi mbali mbali. In that context, naona rumors toka kwa hao hao magamba (ambao wanatudanganya kila siku kua maisha yatakua bora) kwamba huyu kijana wa upinzani ni fisadi na anatembea na mafisadi wa chama tawala. The minimum I can do is to question these allegations and require for facts because this looks too good for the mesenger of this news for me to swallow it in one piece. Ninacho fanya ni kuomba ushahidi wa hizo allegation, nikiupata nitaomba pia huyo kijana ajitetee na baada ya hapo ndio nitajua ukweli uko wapi. Mtu wowote mwenye minimum ya busara lazima aombe ushahidi. asipo fanya hivo either he is part of the propaganda machine, or he is so dumb that he deserves to be a waiter in CCM, not more. Tena tafadhali usije na ID yako ya Precise pangolin kuniuliza haya haya!
Out of point...
 
Last edited by a moderator:
wanajf wapenda haki thread zinazo mhusu zitto na chadema msiingine kichwa kichwa kujibu..ni kampeni ya kukigawa chama cha demokrasia na maendeleo..zitto ni chadema hata kama kajinyea kama kuna mambo anafanya kuna vikao vitamshugulikia..

Nakubaliana nawe kabisa nangojea taarifa kamili
 
Porojo porojo, mwisho wa siku mnaoliwa ni waTanzania, haya endelezeni porojo. Kumchafua Zitto kwa propaganda hakubadili ukweli
 
Labda tuseme tunatofautiana ufahamu na maamuzi baada ya kuelewa. Pale Bungeni njia rahisi kabisa ya kufunga midomo ya watu ni kuwataka watoe ushahidi. Kiongozi akishakuwa dhaifu kila anachoambiwa ataomba ushahidi badala ya kuutafuta mwenyewe. Bila uadui wa kisiasa, tabia ya Mh. huyu iko kinyume na mategemeo. Hizo rumours unazosema utazisubiri mpaka lini ziwe na uthibitisho? Fiction ndo huzaa reality, hata ktk film za akina J.Bond. Hebu tujarbu kuruhusu akili yetu kukubali hata yale tusiyotegemea.
Mkuu utakesha...huyu kilaza yupo kikazi zaidi...kafunika kichwa chini kama mbuni hakuna anachotaka kuingiza tena kichwani...huyu zito anayemtetea saaana tuliwahi kumtete kuliko unavyofanya hapa lakini tumestuka....ni kibaraka na yupo kimaslahi zaidi....
 

Kiongozi wangu MchunguZI; kwanza nakushukuru sana kwa kutake trouble kunijuza yote haya, maana nilikuwa nina tongotongo machoni.

Kuna Mkulu moja aliniuma sikio juzi nilipokuwa masafa kuwa Mbunge wetu kijana sasa hivi anao utajiri wa kutisha na ana biashra zake. Kama ni kweli au la, mimi sijui.

Nafahamu kuwa Zitto and Range Rover Supercharger Sports. Sina uhakika na magari mengine anayotajwa kuwa nayo pamoja na mali.

Pia kuna tuhuma yuko karibu sana na Mkulu na wameonana several times na kwamba CHADEMA wanafahamu yote haya bali wanaona si vema kumfukuza inzi, wacha afie kidondani.

Kama tuhuma zote hizi ni za kweli au la, Zitto anayokazi ya kujisafisha. Ni hawa hawa watu waliokuwa mashabiki na wapenzui wake ambao sasa hivi wamemgeuka?

What exactly happened Hon. Zitto Kabwe? What is behindi all these? And who is behind all these? Are these allegations true?
Mkuu,
Kwanza:kua na Range Rover,n Hummer na mengine sio alama ya ufisadi, ikiwa unaweza kulinganisha pato lako na mali yako. Yeye ni mbunge, ali-declare mali yake toka mwanzo, wajaribu kulinganisha mali yake na pato lake. Ikiwa vinalingana itakua ni alama ya ziada yenye kuonesha umakini wke katika financial management, on a micro/household level. Ikiwa havilingani tutakua na haki ya kumuuliza ametoa wapi hizo extra.
Pili: kua karibu na watu on a personal level, wakati kuna tofauti on a professional/political point of view, si ndio alama ya kua you don't fight people, you fight ideas? Kila siku tunaambiwa great people talk about ideas, not people. Adui wa Tanzania sio mtu binafsi au watu binafsi. Adui ni ujinga, ufisadi, umasikini, rushwa, magonjwa na mengine. If he can discuss about that and avoid personal clashes, si ndio sifa tunazo taka?
tatu: Hadi sasa hakuna ushahidi wowote kuhusu neither his undeclared wealth nore his personnal ties with CCM (please tutofautishe CCM na individuals).

Ndio maana binafsi naona haya yote kama a bad script written for a stupid audience. Tanzanians will not fall in this trap.
 
Back
Top Bottom