Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

naccm ni majambazi walimtuhumu lowasa kuhusu richmond ushahidi uko wapi hizo ni fitna za ccm na uongozi dhaifu wanogopa watu makini sana kama kina lisu mnyika slaa
 
Zitto ni janga hawezi akatofautiana na mapendekezo ya kambi ya upinzani bungeni kuwa mhando hafai yeye anasema anafaa kala rushwa huyu zitto aka fisadi papa
 
zito ni domo wazi linalosubiri chakla mda wote, haya sasa leo umeshikwa, mi nilijua tu ipo siku coz kuna siku milikuona unatolea macho mshiko
 
Ni hivi mwenzetu,

Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na tatizo ktk Wizara ya Nishati na madini. tatizo lenyewe ni la umeme, Tanesco. Baada ya waziri mpya kuingia kafumua mambo mengi sana lakini kubwa ni kwamba kumbe Tanesco wamekuwa wakiunda upungufu wa umeme kwa makusudi ili waanze kutumia pesa za shirika vibaya ktk kununua mafuta mazito ya kuendeshea mitambo ya ziada, ili kufidia upungufu huo. Pesa wanazozitengeneza ktk manunuzi hayo wanagawana.

Hadithi zinaeleza pesa hizo zinafahamika hata ndani ya kamati ya bunge ambayo inaongozwa na Mh. huyu. Bunge leo limesema na kuzomeya "Zitto", pale Mh. mmoja alipolaani mafisadi walioshirikiana na Tanesco.

Siku chache zilizopita pia Mkurugenzi mkuu wa Tanesco alisimamishwa kwa ufisadi. Ajabu Mh. huyu ndo wa kwanza kusema kaonewa. Tulitegemea yeye awe wa kwanza kufahamu undani wa ufisadi huo.

Lisemwalo lipo. Wiki hizi za bajeti ilisikika kwamba kuna wabunge walishajipanga kuwakataa viongozi wa Wizara hii kwa sababu tu eti wameigusa Tanesco. Yaweza kuwa kweli maana magazeti yameandika yakieleza kwamba Rais ana imani na uongozi wa wizara, ikiashilia kuna kundi fulani halina imani nao. Kama ni hivyo baadaye kuna jambo au mawasiliano yaliyofanyika kati ya wabunge maana jioni ya leo sasa bunge limekuwa kama uwanja wa Taifa. kwa pamoja kila aliyesimama kulaani uongozi wa Tanesco, alishangiliwa kama gori la ushindi.

Sisi JF tuliwahi kuhoji uhalali wa Mh. Zitto kuitetea Tanesco ilipokuwa inapanga kununua majenereta (nadhani ni yale ya Dowans) ili kufidia upungufu wa umeme. Sasa kumbe hata upungufu huo umekuwa ukitengenezwa!

Tuseme nini juu ya Mh huyu? na hasa gharama ya imani aliyokuwa amepewa na watu?

Kiongozi wangu MchunguZI; kwanza nakushukuru sana kwa kutake trouble kunijuza yote haya, maana nilikuwa nina tongotongo machoni.

Kuna Mkulu moja aliniuma sikio juzi nilipokuwa masafa kuwa Mbunge wetu kijana sasa hivi anao utajiri wa kutisha na ana biashra zake. Kama ni kweli au la, mimi sijui.

Nafahamu kuwa Zitto and Range Rover Supercharger Sports. Sina uhakika na magari mengine anayotajwa kuwa nayo pamoja na mali.

Pia kuna tuhuma yuko karibu sana na Mkulu na wameonana several times na kwamba CHADEMA wanafahamu yote haya bali wanaona si vema kumfukuza inzi, wacha afie kidondani.

Kama tuhuma zote hizi ni za kweli au la, Zitto anayokazi ya kujisafisha. Ni hawa hawa watu waliokuwa mashabiki na wapenzui wake ambao sasa hivi wamemgeuka?

What exactly happened Hon. Zitto Kabwe? What is behindi all these? And who is behind all these? Are these allegations true?
 
Last edited by a moderator:
Leo ndio unaliona sababu magamba wamkutuma kusema hivo?
Unajitahidi sana kumsafisha zito ama kwa kutokujua unayemtetea ameshajichafua au kwa maslahi na kwa kutumwa na yeye zito...unapoteza mda. Huyu huyu zito ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kumtetea mhando leo yako wapi...yaliyosemwa na wapinzani wenzie leo (rejea hotuba ya kambi rasmi ya upinzani bungeni leo kama hujaisoma usome kipengele kinachomhusu mhando) ni kielelezo tosha kuwa huyu bwana ni mamluki ndani ya upinzani...tunaomjua toka DARUSO akigeuka wenzie kwenye mipango na kuvujisha siri hatushangai...yawezekana humjui kaa kimya au kama umetumwa atavuliwa nguo hapa kwa kuanikwa hata ambayo watu hatupendi kuyaanika hadharani..Tulimpenda ila tamaa imempenda zaidi hatuna imani naye tena.
 
Huna lolote roho mbaya tuu na chuki binafsi,huwaoni waloiba EPA na Richmond umemuona Zitto tuu? Kumbe Zitto mwanamme anakulaza machoeee nabaado wala kura yako haiitaji wewe zidi kumpaka matope lakini ujue
Humuaribii na kumbuka nia safi hairogwi loooooo ushindwe na ulegee Kama bamia lakuchemsha.....

mi pia chadema nayachukia magamba mpaka nahisi kuumwa zitto alikuwa kiongozi niliyemkubali sana tangu mara ya kwanza anaingia bungeni nadhani alikuwa anaomba nafasi ya kuwa mbunge wa bunge la africa ila miaka ya karibuni jamaa anakuwa moto,mara baridi haeleweki ni kinyonga ushamsikia nani CDM anaongelea urais zaidi yake kwnn? anajihisi kwamba ana sifa hiyo kuliko wengine? angekuwa mtu safi angesubiri mpaka mchakato huo ufunguliwe rasmi na chama sio kujipeleka kwa magazeti we must clean him asije kutuletea zengwe muda wa ukombozi utakapokaribia
 
Unajitahidi sana kumsafisha zito ama kwa kutokujua unayemtetea ameshajichafua au kwa maslahi na kwa kutumwa na yeye zito...unapoteza mda. Huyu huyu zito ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kumtetea mhando leo yako wapi...yaliyosemwa na wapinzani wenzie leo (rejea hotuba ya kambi rasmi ya upinzani bungeni leo kama hujaisoma usome kipengele kinachomhusu mhando) ni kielelezo tosha kuwa huyu bwana ni mamluki ndani ya upinzani...tunaomjua toka DARUSO akigeuka wenzie kwenye mipango na kuvujisha siri hatushangai...yawezekana humjui kaa kimya au kama umetumwa atavuliwa nguo hapa kwa kuanikwa hata ambayo watu hatupendi kuyaanika hadharani..Tulimpenda ila tamaa imempenda zaidi hatuna imani naye tena.
Mkiishiwa hoja ndio mnakuja na sababu za kitoto kama hizo. Kama hutaki kuyaanika ungekaa kimya. Mradi umeamua kusema leta ushahidi. Sio ushabiki wa kijinga. Zitto angekua mamluki wala hungemuona anaongea na watu wa CCM sababu angekua busy kuficha acquaintances zao. Kinacho fanyika hapa ni kujaribu kugawa CDM mara mbili zababu wameona hatari ya CDM in 2015 haikwepeki. Na wewe kama hujaliona hilo basi pole sana, nakuonea huruma kwa kupokea udaku kama msichana. We need facts, not rumors.
 
Huna lolote roho mbaya tuu na chuki binafsi,huwaoni waloiba EPA na Richmond umemuona Zitto tuu? Kumbe Zitto mwanamme anakulaza machoeee nabaado wala kura yako haiitaji wewe zidi kumpaka matope lakini ujue
Humuaribii na kumbuka nia safi hairogwi loooooo ushindwe na ulegee Kama bamia lakuchemsha.....

Hili Jamaa sijui ni CCM?....acha zitto aambiwe ukweli bana anataka kutuharibia chama chetu makini na ninamuombea kwa nguvu zote 2015 akigombea ubunge kupitia CDM wampige chini bora tupoteze jimbo hilo itakua kheri maaana huyu jamaa sioni dira yake sasa Zitto sasa kawa Zigo kwa Chadema Eeeee mola tuepushe na balaa hili.
 
Mkuu usitanue hoja jikite kwenye hoja iliyopo mkononi zito ni fisadi la kutupwa
Sijaona hoja hapa zaidi ya rumors. mbona huleti fact? nimetaja kesi zinazo julikana na zilizo mahakamani ili wasio jua maana ya fact waelewe. Sio kuropoka tu.
 
Zitto yabebe sasa na haya kaka yetu, sasa sijui una mkosi gani mwaka huu, tatzio kuu ww hauna tearmwork that y hata wenzako wanashindwa kukutetea.

Mwaka huu wako kaka.
 
kukosa kiwango fulani cha uelewa ni kitu kibaya sana. sijui nchi hi9i itaponaje ikiwa rumors tena toka kwa magamba zinaweza kutuyumbisha kiasi hiki katika msimamo. Hii propaganda mbichi kabisa, inakuja bila ushahidi na mnaikkubali? Ingekua Zitto ni fisadi na anapenda pesa kwanini asipokei rushwa ambayo ni halali? kwanini apiganishe kuinagusha serikali ya magamba tena kwa njia ya kidemokrasia? Take even a minute to think brother!
....and this might be Zitto Zubeir Kabwe. Vipi kuhusu kumtetea mhando ?? jibu walau hilo moja...Kama wewe ni mtu safi unaweza kumtetea mtu mchafu kiasi hiki??
 
Sijaona hoja hapa zaidi ya rumors. mbona huleti fact? nimetaja kesi zinazo julikana na zilizo mahakamani ili wasio jua maana ya fact waelewe. Sio kuropoka tu.
Mkuu!!! zito ni janga jaribu kuconnect dot utapata picha kamili
 
....and this might be Zitto Zubeir Kabwe. Vipi kuhusu kumtetea mhando ?? jibu walau hilo moja...Kama wewe ni mtu safi unaweza kumtetea mtu mchafu kiasi hiki??
Naona umeishiwa hija, kakojoe ulale sasa. Sisi tunaendelea na mada ya leo
 
Mkiishiwa hoja ndio mnakuja na sababu za kitoto kama hizo. Kama hutaki kuyaanika ungekaa kimya. Mradi umeamua kusema leta ushahidi. Sio ushabiki wa kijinga. Zitto angekua mamluki wala hungemuona anaongea na watu wa CCM sababu angekua busy kuficha acquaintances zao. Kinacho fanyika hapa ni kujaribu kugawa CDM mara mbili zababu wameona hatari ya CDM in 2015 haikwepeki. Na wewe kama hujaliona hilo basi pole sana, nakuonea huruma kwa kupokea udaku kama msichana. We need facts, not rumors.
Wewe ni ukilaza unakusumbua.....Nimefuatilia defence yako humu hakuna sehemu hata moja unajibu hoja. sina mda na vilaza. kakojoe ulale.
 
mlikosa ushahidi kwa lowasa sasa mafisadi akina mukulo ngeleja maige na wenzao waliotemwa uwaziri hamuwasemi zito mna ushahidi gani acheni udaku wa ccm pelekeni uhuru na mzalendo
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Binafisi nisingependa kuona CDM ikianza kupotezewa kasi yake iliyoipata tangu uchaguzi wa 2010 kutokana na mtu mmoja kweli imefikia hatua mpaka mm binafisi nikiunganisha matukio ya Zitto napatwa na wasiwasi wa kuimaliza radha ya CDM
nisingependa kusema sana ila naomba wapenda maendeleo na wapigania haki tutoe maoni hapa tufanye nn na huyu Zitto ili kukinusuru chama cha Chadema.?
 
Back
Top Bottom