Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,689
- 134,428
Mkuu Zitto, hongera sana .
P
P
Hyo c ndgu yenu cku nyingi mmemfanya kibaraka hku upinzaniZitto, hongera sana kwa kusoma vitabu hivyo - wewe ni mzuri ila ukihamia CCM utakuwa mzuri zaidi - karibu (siasa hazina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu)
Enzi zangu vitabu 16 nasoma ndani ya wiki mbili tu,,novel kubwa nilikuwa natumia masaa 24 tu,,vile vitabu kama vya james hadley chase masaa kama 16 tu,naweka chini,,
Mkuu, kuna thread yangu moja nitaku-tag, nitaomba ufafanuzi wako kidogoEnzi zangu vitabu 16 nasoma ndani ya wiki mbili tu,,novel kubwa nilikuwa natumia masaa 24 tu,,vile vitabu kama vya james hadley chase masaa kama 16 tu,naweka chini,,
Biblia nilitumia mwezi,
Encyclopedia wiki tatu...ha ha ha