Sam 2023
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,984
Kuhusu magari uzi ufuatao una ufafanuzi mzuri
www.jamiiforums.com
Kuhusu mali zake siwezi kulizungumzia sana
Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?
Habari wanaJF, Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam). Je, ni wakuu wa mikoa wote...