Hata mimi nnahisi ni Lemutuz au Stive NyerereWewe sio Lemutuz kweli ?
Kuhusu magari uzi ufuatao una ufafanuzi mzuri
Kuhusu mali zake siwezi kulizungumzia sana![]()
Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?
Habari wanaJF, Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam). Je, ni wakuu wa mikoa wote...www.jamiiforums.com
...Duh, mkuu Papa Jiwe. Haya maswali ya namna hii ndio yanayofanya nchi hii daima kuwa 'Shamba la Bibi'!
Ina maana kweli huoni tatizo la mfanyakazi wa serikali kumiliki utitiri huo wa magari?
Hivi inakuwaje mtu unamiliki magari yote hayo ambapo moja ama mawili tu yangekutosha sana!
Hii si sawa na kuleta 'U-Sultani wa Brunei' ndani ya nchi hii ya Wakulima na Wafanyazi??
Sikuanzisha hii mada kwa ajili ya kilaza kama wewe, ndio maana nikasema wataalam wa utawala na sheria wewe la 7 c soma upite maana nyie mnaokaa kwa dada zenu kula kulala kwa shemeji ndio mnasumbua
Achana nao mkuu vijana wamejitoa akili kabisaMtu anakula, analala, etc kwa kodi zetu, halafu tusihoji! Wanawazimu hao wapambe wake. RC tu ndio anaishi hivi jamani [emoji134]♀️[emoji134]♀️[emoji134]♀️
Utachengaje maadui wakati plate no ni ya RC DSM. Unatumia nini kufikiria ndugu yangu?Wanambadilishia magari maana bado ana maadui wengi sana wanajaribu kuchenga maadui
Umenikumbusha mbali! Yah man, I and I got to emancipate ourselves, overstand?Mm-mm-mm-mm-mm-hm! Ooh-oo-oo-oo-er. Mm-mm-mm.
Jah would never give the power to a baldhead
Run come crucify the Dread.
Time alone - oh, time will tell:
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell.
Time alone - oh, time will tell:
Ya think you're in heaven, but ya living in hell.
Back them up; oh, not the brothers,
But the ones who sets 'em up.
Time alone - oh, time will tell:
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell.
Time alone - oh, time will tell:
Ya think you're in heaven, but ya living in hell.
Mm-mm. Mm-mm.
Oh, ma ...................
Oh, ma ...................
Oh, ma children are cryin'.
Oh, children, weep no more!
Oh, ma sycamore tree, saw the freedom tree.
All you ... have spoke:
Oh, children, weep no more;
Weep no more: children, weep no more!
Jah would never give the power to a baldhead
Run come crucify the Dread.
Time alone - oh, time will tell:
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell;
Think you're in heaven, but ya living in hell.
Time alone - oh, time will tell:
Think you're in heaven, but ya living in hell.
Yes Rasta...Umenikumbusha mbali! Yah man, I and I got to emancipate ourselves, overstand?